Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Unadhani_huyu_MHUNI_anafanya_Nini_hapa%3F%0A%0AA._Anahalalisha_UHUNI%0AB._Anahalalisha_wizi_wa...jpg
 
Mbowe alipokuwa anavunjiwa miundombinu yake kwenye shamba la kisasa hako kajamaa kalikuwa kanakenua na mpanga uvunjaji akapewa cheo.

Huyu jamaa ni sawa na mtu aliyekua anafurahi kuuza silaha kwa jirani na akaue majirani wenzie , jirani huyu mpenda vita alipomaliza vita sasa akakosa wa kuua inabidi amrudie muuza silaha.
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847
Apambane shubaamiti alikua anawatuma kwa watu wengine sasa wanatumwa kwake zamu yake imefika tusubiri atekwe tu ama apigwe risasi !!!!!! Haya mambo CCM wanayafanya kweupe kabisa halafu walikua wanabisha
 
Yeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
Kuna yule mwenzie, wakati Tundu Lissu analalamikia ushenzi huo, yeye akadai eti ana UGONJWA WA KUDEKA!
Hilo tatizo, ni kama MTEGO WA PANYA. Wanapotokea wa kuulalamikia huo mtego, usiwabeze na kuona wewe si PANYA. Hivyo haukuhusu!
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847
View attachment 2041927

Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa .

Ngoja tuone mwisho wao utakuwaje

Chanzo : Muungwana Blog

View attachment 2041927

Hii ndio taarifa mpya inayosambaa mitandaoni kwa sasa .

Ngoja tuone mwisho wao utakuwaje

Chanzo : Muungwana Blog
WAHUNIIIII.......WAHUNIIIII...wapoloo wapoloo.......wahuniiii.....wahuniiiiiii.....
.awamu ile kina polepole walitumia wahuni kuumiza kina lisu,kina mbowe , kununua wapinzani na kadhalika .....Sasa dhambi ukiianza huwa inaendelea......babake kafariki ..... Wahuni walewale wamegeukia chawa wa baba....."usilie kwa uchungu hamfrei , nasi ilikuwa hivyo awamu ile.....ilituuma Sana.....sisi Leo tupo dar....tuliyosali yamejibu....yahe yahe...cindelela by Ali kiba
 
Yale Yale Sasa Hivi Inaonekana Kumekucha
Huyu Ndiyo Anafanywa Kama Bible Ilivyosema
Haa Tanzania Ni Tajiri, Wanamtawaza Kabla.....
 
Back
Top Bottom