Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Kwa mtu ambaye anaweza kuona vitu " behind the scene " kupitia chumba ambacho wengine wamepaita nyumbani kwa Polepole wanaweza sasa kujua chanzo cha frustration ya Polepole!

Kila mtu mwenye mapenzi mema na Nchi yetu aliumizwa sana na kifo cha ghafla cha Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu!

Lakini ukweli in kwamba wapo walioumizwa na kifo kile kutokana na maslahi binafsi waliyokuwa nayo chini ya uongozi wa Rais Magufuli.

Watu hao wengi wanajulikana kama akina Paulo Makonda, Sabaya, Cyprian Musiba, Bashiru ,Chalamila,Polepole n.k.
Hawa WALIJISAHAU wakajua Rais Magufuli atatawala milele!

Mwenyezi Mungu ndiye mwenye mipango yote na hivyo ni busara kwa vijana mnaopata kuaminiwa na kupewa nafasi basi nendeni kwa unyenyekevu kwani hakuna aijuaye kesho!

Polepole na wapambe wako wanaokudanganya tulieni, mwacheni Rais Samia aongoze Nchi katika hii AWAMU YAKE YA 6.
 
Siooo poaaaa kabisaa
Polepole Nd anakaa paleeeee
 
Polepole huwa anajidai kama Nyerere wa sasa. Hata kuongea anamuiga Nyerere
 
Never underestimate the power of intelligence, huwezi jua nini kinaendelea.
Siku msipotimiza mliowaahidi Wayahudi watawadondosha kama walivyowaingiza, hakuna jipya hapa Duniani, kwani mna wakati mgumu sana kutimiza masharti ambayo ni unpopular kwa Watanzania, mnaenda anguka kama mlivyoingia.
 
Anaishi bila familia?

Mtu kama yeye anajua yupo vulnurable na lazima ana walinzi.

Humphrey acha kufanya uenezi kwenye maisha ya kawaida
 
Hivi huyu Polepole ana familia? Hiki chumba ni kama cha mtu aliyeko kwenye masomo nchi za watu. Watoto na mke wake wakimtembelea wanalalal wapi? Kweli hela zote alizopata hajajenga nyumba yake kisasa au hata iyumbu?
 
Jamaa ajaribu jina jipya " quick slow" labda linaweza kum boost " slow slow" nyota yake imeyeyuka.
 
Anaishi peke yake
Hana ulinzi
Hana majirani
Hana hata cctv camera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…