Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Kwa mtu ambaye anaweza kuona vitu " behind the scene " kupitia chumba ambacho wengine wamepaita nyumbani kwa Polepole wanaweza sasa kujua chanzo cha frustration ya Polepole!
Kila mtu mwenye mapenzi mema na Nchi yetu aliumizwa sana na kifo cha ghafla cha Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu!
Lakini ukweli in kwamba wapo walioumizwa na kifo kile kutokana na maslahi binafsi waliyokuwa nayo chini ya uongozi wa Rais Magufuli.
Watu hao wengi wanajulikana kama akina Paulo Makonda, Sabaya, Cyprian Musiba, Bashiru ,Chalamila,Polepole n.k.
Hawa WALIJISAHAU wakajua Rais Magufuli atatawala milele!
Mwenyezi Mungu ndiye mwenye mipango yote na hivyo ni busara kwa vijana mnaopata kuaminiwa na kupewa nafasi basi nendeni kwa unyenyekevu kwani hakuna aijuaye kesho!
Polepole na wapambe wako wanaokudanganya tulieni, mwacheni Rais Samia aongoze Nchi katika hii AWAMU YAKE YA 6.