Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

kumbe hao jamaa wapo na upande wa pili? mi nilijua wasiojulikana wapo upinzan pekeeeeeeee.....safi sana kama picha ndio lipo ivyo
 
Anajitengenezea kiki na wapush gang wenzake huyo.
Wanacheza movie ya kitoto kabisa.

Wakati wanajua kabisa hakuna mwenye ushawishi.

Serkali haiwezi kumfuatilia mpuuzi kama huyo.
hujawasikia Nape na Bulembo walivyohamaki......kwanini wahamaki kwa mtu asiye na ushawishi?
 
Kuna aliyesema ameona KY jelly. Hii inatumikaje kwa mwanaume?
 
Mhe. Polepole inabidi amiliki Pisto kwa usalama wake
Mtu atakua na viete akose pisto?
Tatizo kujua kuitumia.
Lissu alishambuliwa na silaha ya kivita zaidi ya magazine ilitumika lkn matokeo tumeyaona.
 
Wakati Magufuli akifanyia watu uhayawani, kuwateka na kuwaua wakosoaji mlikuwa kimya, sasa mmeguswa mnasema nchi haitabaki salama kabla ya 2023. Tulisema dhuluma haidumu, sasa yanatokea yale yake mliyoona ni haki kwa wengine kisa uzalendo uchwara wa Magufuli. Tunataka tusibaki salama ili tuheshimiane.
 
 
Kwa hiyo tuseme na Polepole ameanza kuonja maumivu ya akina Lissu? Akina Azori? Akina Akwilina? Akina Nape? Na bado
 
Muua kwa upnga huuliwa kwa upanga pia. Dodoma hiyo hiyo walikotuma watu wamuue Lissu, naye yanamkuta. Na bado, watakapa kituuu..
 
Kwenye ukurasa wa Polepole kule FB. Kila aliye comment amemshambulia mzee wa viete.
Kumbe Polepole hapendwi Kama nyoka....
 
hujawasikia Nape na Bulembo walivyohamaki......kwanini wahamaki kwa mtu asiye na ushawishi?
Ukitaka kujua kama ana ushawishi au hana angalia kila Uzi utakao anzishwa humu jf kuhusu huyo jamaa utaona wachangiaji ni wengi including you !! Karma IPO kazini !!
 
Mimi naona hata hivyo bado. Angepatikana kwenye kiroba kama enzi za akina Polepole ningemwonea huruma. CCM ni shida. Ujinga, maradhi, Umaskini, na CCM ndio maadui wakubwa wa Taifa
 
Mbona kitanda na chumba vina onekana kama hotelini? Mbona haja onyesha sitting room au eneo jingine. Hata palipo vunjwa haja onyesha.
Hili ni igizo
 
Upambe nuksi sana na hapa inabidi tujifunze kitu mama Samia hawezi kutuma watu kufanya upuuzi wa aina hiyo.

Ata kwa Magufuli ilikuwa ivyo ivyo mambo mengine ni wapambe tu; hawa watu ogopa.
Kama ni wapambe tu, attitude na vitendo vya serikali kuhusu hili tukio vitathibitisha hilo. Polepole anasema karipoti polisi. Tutaona kitakachoendelea.

Magufuli, was an open book. Lissu alipopigwa risasi Dodoma, kauli na vitendo vya serikali vilithibitisha mhusika mkuu ni nani. Reaction ya polisi, mahakama, CCM, bunge, n.k. hadi leo ni dhahiri. Vivyo hivyo kwa adha walizopata wapinzani kadhaa hata ndani ya CCM (opposition & dissenters). The same goes on.

Ni ajabu sana kwa mtu kama Polepole kujifanya hajui “philosophy” na modus operandi ya utawala wa CCM.
 
Kwenye ukurasa wa Polepole kule FB. Kila aliye comment amemshambulia mzee wa viete.
Kumbe Polepole hapendwi Kama nyoka....
Si msaliti ndumilakuwili

Leo anakuambia hii nyekundu kesho nyekundu

Anakuambia nyeusi

#atii na kuheshim mamlaka

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…