Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Chumba kikubwa kitanda futi mbili na nusuMbona kitanda na chumba vina onekana kama hotelini? Mbona haja onyesha sitting room au eneo jingine. Hata palipo vunjwa haja onyesha.
Hili ni igizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chumba kikubwa kitanda futi mbili na nusuMbona kitanda na chumba vina onekana kama hotelini? Mbona haja onyesha sitting room au eneo jingine. Hata palipo vunjwa haja onyesha.
Hili ni igizo
Wewe ndiyo unaanza kulipwa yale uliyokuwa unawafanyia wenzio ulifikiri wao hawana roho? sasa tulia dawa ikuingie na bado wangekukuta ndiyo ungejuwa ubaya n malipoyapo hapahapaduniani mbinguni hesabu tu
Sakata la Lissu lipo wazi, madhara yaliyomkuta sio ya kumuombea binadamu yoyote.Kama ni wapambe tu, attitude na vitendo vya serikali kuhusu hili tukio vitathibitisha hilo. Polepole anasema karipoti polisi. Tutaona kitakachoendelea.
Magufuli, was an open book. Lissu alipopigwa risasi Dodoma, kauli na vitendo vya serikali vilithibitisha mhusika mkuu ni nani. Reaction ya polisi, mahakama, CCM, bunge, n.k. hadi leo ni dhahiri. Vivyo hivyo kwa adha walizopata wapinzani kadhaa hata ndani ya CCM (opposition & dissenters). The same goes on.
Ni ajabu sana kwa mtu kama Polepole kujifanya hajui “philosophy” na modus operandi ya utawala wa CCM.
Acha ujinga, watu wanauawa na polisi wanafanya upelelezi wao! Kwa Lissu hata jalada halijafunguliwa!Sakata la Lissu lipo wazi, madhara yaliyomkuta sio ya kumuombea binadamu yoyote.
Lakini Lissu amekataa kutoa ushirikiano na jeshi la polisi katika upalelezi wao, upande huo uwa amtaki kuongelea.
Kama muhusika utaki kushirikiana na polisi unataka wafanyaje, yeye anachodai keshaongea sana kwenye media so story yake wanayo, hivyo ndio upelelezi unavyofanywa kweli.
Una dereva gari imemiminwa raisi kibao randomly yeye aijampata ata moja gari ilipakiwa katika angle gani yeye asiguswe? What are the odds of that happening in random shooting. Watu wafyatue semi automatic zimpate mtu mmoja tu, inaingia akilini kweli lazima hizo risasi zilipigwa at an angle.
Maswali ni mengi muhusika ataki ushirikiano na polisi.
Kama kipind cha chuma 🤣 yaan ni pyupyupyuWahuni bhana, hawawezi kushindana kwa hoja. 😂
Una huo ushahidi jalada alijafunguliwa?Acha ujinga, watu wanauawa na polisi wanafanya upelelezi wao! Kwa Lissu hata jalada halijafunguliwa!
Huyo nape na bulembo wenyewe ni wa.hovyo tu. Na hawana lolote kwenye nchi.hii.hivyo majibizano yao na huyo kiroboto wao hakuna madhala yoyote c kwenye chama wala nchi.hujawasikia Nape na Bulembo walivyohamaki......kwanini wahamaki kwa mtu asiye na ushawishi?
Pole Mheshimiwa. Malipo ni hapahapa duniani. Inawezekana nawe unalipa.Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
Ni kwamba siku Lissu anapigwa risasi majambazi wale waliongozana naye toka bungeni hadi nyumbani kwake na siyo kwamba walimsubiri nyumbani kwake. Nafahamu mengi unayafahamu ikiwa ni pamoja na kuondolewa CCTV cameras lakini kwa kuwa una agenda yako kumtetea Magufuli baki kama ulivyo!Una huo ushahidi jalada alijafunguliwa?
Ni hivi swala la Lissu ni pana, kosa la Magufuli ni kuropoka; ndio kitu kinachofanya awe suspect number 1.
Lakini with time tumejua Mbowe ana mawasiliano na trained military personnel capable of doing that mission effectively and disappear from the scene.
Sasa sisemi ni tukio la kupangwa na CDM, linaweza kuwa la kupangwa na maadui wa Magufuli serikalini it is obvious now alikuwa nao wengi kumbe au hata kupangwa na Magufuli mwenyewe. In other words it an open book anything is possible.
Maswali ni mengi kushinda majibu, mfano Lissu ana utaratibu wa kurudi nyumbani kwake mida ile kila siku; if not wahusika walijuaje atakuwa hapo mida hiyo.
Maswali mengine ya uchunguzi yana muhitaji Lissu mwenyewe ambae kagoma kutoa ushirikiano.
Siku njema.
Wakati bwana'ake anafanya matendo hayo kwa wengine na wao wakichekelea alijua Mungu hayupo?Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
=
Mtenda akitendewa hujihisi kaonewaMtenda alitendewa
Hii kitaalam inaitwaje?
Kwa hiyo Samia nae ni dhalimu kama Magufuli na hivyo kawatuma kumfanyia hivyo polepoleMagufuli ndio aliyesimika siasa hizo za kishenzi, na Polepole akabariki uhayawani ule. Acha aonyeshwe makali ya siasa za kishenzi na washenzi wenzake.
Nadhan hii ni game y kujitia dole af unajinusa af unachefuka...yote unafanya wewe yanHahahaha what kind of game do they playing around?