Raia - JMT
Senior Member
- Jun 23, 2024
- 121
- 112
Je, nini dhima ya Mhe Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mhe David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP kuwakusanya Viongozi hawa waandamizi wa Taifa hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiiweka Kwenye Hewa TutajuaTozo popote
Hili ni jambo la kiutendaji tu kwani Hawa wote ni watu wanasimamia taasisi chini yao,Nini dhima ya Dkt Mwigulu Nchemba waziri wa fedha na David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia kukusanya Viongozi wote hawa waandamizi wa Taifa hili?
View attachment 3083254
Upigaji upi hapo wewe?Anaandaa mazingira ya upigaji vizuri.
Kisomo cha wizi wa kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaaNini dhima ya Dkt Mwigulu Nchemba waziri wa fedha na David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia kukusanya Viongozi wote hawa waandamizi wa Taifa hili?
View attachment 3083254
Kazi nzuri sana Dkt Mwigulu,Nini dhima ya Dkt Mwigulu Nchemba waziri wa fedha na David Kafulila Mkurugenzi wa Ubia kukusanya Viongozi wote hawa waandamizi wa Taifa hili?
View attachment 3083254
Tatizo masikini wanachukia sana matajiri,Ni mwanzo mzuri wa kula fedha ya serikali kupitia posho za semina, warsha na makongamano
Fedha iko wapi Bwashee?Ni mwanzo mzuri wa kula fedha ya serikali kupitia posho za semina, warsha na makongamano
Sahihi kabisa watu wamezoea unyondenyondeFedha iko wapi Bwashee?
Hapo UK yule PM Steamer kawaambia kuanzia October maisha ya waingereza yatakuwa magumu sana hivyo wajiandae Kisaikolojia 😀😀