DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

Tatizo la masiki kuwachukia waliopata na wakila bia mnasema ni matumizi mabaya ya pesa kumbe wewe huna😄

Wote ni masikini mkuu ,matajiri hawafanyi kazi ,matajiri wanakula bata tu ,walishajipata kitambo ,hao unaowazungumza ni WEZI wa MALI ya UMMA na ndiyo maana wapo tayari kuua ili mradi waendelee kuwaibia waTZ.

Katika Maisha yangu sijawahi kumuonea wivu tajiri hata siku moja maana utajiri wake au umasikini wake mimi haunisaidii hata kidogo ,nitapiga kelele endapo tu kama NI JIZI LA MALI ZA UMMA.
 
Fedha iko wapi Bwashee?

Hapo UK yule PM Steamer kawaambia kuanzia October maisha ya waingereza yatakuwa magumu sana hivyo wajiandae Kisaikolojia 😀😀
Bora huyo pm kawaambia muda wa kuanza kwa umaskini na bila shaka atawaambia na .mwisho wake. Sisi hatujaambiwa na hayupo wa kutuambia, ni umaskini automatic.
 
Kisomo cha wizi wa kura kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa
Ilitakiwa kazi za serikali zisitishwe mpk uchaguzi uishe?
* Hebu fikiria ungekuwa wewe ni waziri wa fedha ungeharamisha kukutana na watendaji na viongozi wa Serikali?
 
Bahati mbaya hawa wanaotaka uraisi wote ni wababaishaji sana
 
Back
Top Bottom