DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

Kuna kitu hakipo sawa. Hiyo tarehe ndipo vikao vya CCM vipo huko huko Dodoma. Kweli mwaka wa uchaguzi huwa kuna hekaheka nyingi sana.
 
Hili ni jambo la kiutendaji tu kwani Hawa wote ni watu wanasimamia taasisi chini yao,

Kazi nzuri sana Dkt Mwigulu na Kafulila
Kama ni hivyo sehemu nyingi zenye miradi ya mabilini kwanini wamsubiri waziri mkuu aje ndipo ubovu ubainika
 
Back
Top Bottom