DODOMA: Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu akusanya RCs, RASs, DCs, RMOs, DMOs na maDED wote nchi nzima. Je, nini kipo nyuma ya hili?

Kuna kitu hakipo sawa. Hiyo tarehe ndipo vikao vya CCM vipo huko huko Dodoma. Kweli mwaka wa uchaguzi huwa kuna hekaheka nyingi sana.
 
Tatizo masikini wanachukia sana matajiri,

Omba Mungu na wewe ipo siku yako utatoboa tu
Utajiri unaotokea kwenye Ofisi za Umma ni Utajiri Haramu !
Mwalimu alisemaga Ukitaka utajiri tuachie Ofisi yetu kisha ukafanye Biashara na ulipe kodi !
 
Hili ni jambo la kiutendaji tu kwani Hawa wote ni watu wanasimamia taasisi chini yao,

Kazi nzuri sana Dkt Mwigulu na Kafulila
Kama ni hivyo sehemu nyingi zenye miradi ya mabilini kwanini wamsubiri waziri mkuu aje ndipo ubovu ubainika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…