Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Jiwe ameanza kulalamika kama wenzake walipewa kumi kumi kwanini na yeye asipewe 10?Usipime Lissu sasa hivi ni gumzo bila wasanii anakubalika. Yule mwingine ngoja ajazane na kina x maana wananchi wanahitaji burudani halafu akishaanza na masuala ya ndege wanazururazura kutafuta barafu