Uchaguzi 2020 Dodoma: Yaliyojiri mapokezi ya Tundu Lissu na mkutano mkubwa viwanja vya Uhuru Dodoma

Usipime Lissu sasa hivi ni gumzo bila wasanii anakubalika. Yule mwingine ngoja ajazane na kina x maana wananchi wanahitaji burudani halafu akishaanza na masuala ya ndege wanazururazura kutafuta barafu
Jiwe ameanza kulalamika kama wenzake walipewa kumi kumi kwanini na yeye asipewe 10?
 
LISSU jamani yule ana ubongo wa wabunge 100 wa CCM kwa pamoja, Jamaa anavyoongea kwa utulivu, heshma na facts unaweza jiuliza huyu anyewaambia wamama wanavaa barakoa zinafanana na matiti, unawaza anamjibu mama eti anataka kupanuliwa, unawaza anamjibu mhaya eti sijakuletea tetemeko!
 
Safi sana....
Aisee! Hiyo picha mlivyoiedit aibu kabisa!

Nyanyua camera juu au rusha drone, leta picha hapa,
Siyo unaenda sehemu ya watu waliomzunguka Lisu unapiga picha unaicrop kisha ndio unaleta hapa. Mnatia aibu
 
Hiyo janja yenu ya Kusubiri kimalizike kila kitu ndo muanze kutupia picha na video za kuungaunga mnatukatisha tamaa tunaotaka kufuatilia mbashara kule YouTube mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…