Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Picha la kutisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani sana ni neno gani ambalo ambalo huwa analitamka na linakukera..Huo ni ushauri mzito sana.
Inabidi cdm muwe na kamati maalum ya ushauri kwa TL.
Ieleweke anajiandaa kuingia kwenye taasisi kubwa hivyo ni lazima aelewe anachozungumza sio azungumze kila anachokielewa.
Ofisi itakuwa wazi.Sikukuu haziingiliani na ratiba ya TumeWw ni msemaji wa tume? Sio vibaya pia Molemo akitolea ufafanuzi kama wamehakikishiwa kukuta ofisi ikiwa wazi.
Hilo jina mbona la kwangu una haki miliki nalo..Picha la kutisha.
Wasipofungua tutaweka kambi mpaka jumatatu...Ofisi itakuwa wazi.Sikukuu haziingiliani na ratiba ya Tume
Huu ni ushauri wangu kwa TL.Mzee wenu Jiwe anavyocharuka Ziarani ninyi mnamuona Lissu tu .Na apunguze maneno
Akumbuke tu huo ndo mji ulioweka historia ya uhai wake,ikibidi atembelee eneo la tukio kutoa sadaka na aende hospitaliya mkoa kuwashukuru madaktari na manesi...zaidi ya yote awe MAKINI
Lissu nae kasema atakuwa rais wa wanyonge!? Utakuwa hauko sawa..Kmmzenu,hapo kila mtu anadai yeye ni wa Wanyonge na kweli mnawanyonga, yaani sisi waafrika tukijinasibu umasikini na unyonge kwetu sijui ni au kutaka huruma?lakini hii yote tumezoeshwa kusaidiwa na kufadhiliwa nilimsikia spika wakati wa kufunga bunge akitoa aibu zake alivyokuwa akiishi kiufukara na maisha ya dhiki
Hahaaa mtapata kazi sana mwaka huu kwa sababu lissu Ni mropokajiKuna baadhi ya maneno anaongea yanampotezea haiba yake
Lissu nae kasema atakuwa rais wa wanyonge!? Utakuwa hauko sawa..
Ina uhusiano gani na kumsindikiza shujaa wao? Watu wanajua kuchukua tahadhariKwa mji wa Lisu Tanzania kuna Corona na watu wanakufa, hivyo sitarajii shamra shamra kama za mwenzake anayeamini Corona imekwisha.
Weka Akiba ya maneno usiropoke kila kituHahaaa mtapata kazi sana mwaka huu kwa sababu lissu Ni mropokaji
Lissu hawezi kutofautisha maneno Kati ya kuongea na press,hadhara,bungeni au mahakamani yeye anarusha tu
Wiki ya kwanza tu ya kampeni mtajuta kumchagua lissu,mtamkumbuka Nyalandu
Hueleweki unataka kusema niniChadema leo inatarajiwa kutoa ratiba njia atakazopita mtetezi huyo wa wanyonge na Msemaji wa wasio na sauti ili walau watu kujipanga majiani kumsalimia na kumsindikiza.
Umempa ushauri mwananaWewe lala nyumbani kwako wenzio wataenda kuchukua form NEC
Hueleweki unataka kusema nini
Unashabikia uropokaji?Mzee wenu Jiwe anavyocharuka Ziarani ninyi mnamuona Lissu tu .Na apunguze maneno