- Thread starter
- #61
Mkuu ukiwa Kama mwandishi wa Habari nguli utusaidie kuipasha Dunia ukweli wa kitakachotokeaTupo tayari Dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiwa Kama mwandishi wa Habari nguli utusaidie kuipasha Dunia ukweli wa kitakachotokeaTupo tayari Dodoma
Wewe hujuelewi waliotufikisha hapa si hao maviccm mpaka tunakuwa maskini wakutupwa? Mambo aliyoyaahidi huyo rais wako ni asilimia ngapi ametimiza? Au unafikiri hatukumbuki mwaka 2015.Lissu hawezi kushinda na kamwe hatakuwa rais wa Tanzania labda jua libadili uelekeo,kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?
Lissu ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu kwani ni selfish person, ni mtu mwenye jazba,hana nidhamu,amejaaa chuki,na anatumika na nchi za magharibi ili kuvuruga mstakari na umoja wa taifa letu,huyu bwana hafai lazima apingwe kwa kila namna .
Harafu mtu anaposema lissu atakuwa rais ni kujidanganya sana,ataongoza serikali ipi ikiwa chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano,hii ni ndoto
Mwambie lissu kuwa amejidanganya na kama anamatumaini ya kuiongoza Tanzania basi kapotea,
Eti mtetezi wa wanyonge,wanyonge wepi hao anaowatetea ?
Mkuu ukiona Molemo ameleta habari ujue imethibitishwa na vyanzo vyote muhimu.Je, CHADEMA wameshajiridhisha na Tume ya Uchaguzi ( NEC ) kuwa Kesho watakuwepo? Aliyeipanga hii tarehe alikosea na naomba niishie hapa.
Kamati ya Maandalizi imepokea ushauri wako itaufanyia kazi.Asante sanaSina hakika kama Lissu ameshafika Dodoma tangu arudi kutoka kwenye matibabu; ila cha kwanza, kabla ya kwenda sijui kuchukua fomu au kufanya kitu kingine chochote, afike pale alipomiminiwa risasi, ainame abusu mahali pale amshukuru Mungu kwa kumuokoa na mauti ya wazi maana ardhi ile ilimnenea mema. Na ijulikane hakika yuko Mungu aponyaye. Baada ya hapo aendelee na mishe zake kwenda kuchukua fomu na mengineyo yaendelee.
Matatizo yameongezekaTwende twende twendeView attachment 1529470
Maneno kama yapi Tindo?Tunashukuru Molemo kwa kuleta hii habari. Kuna uzito fulani kwenye kitengo cha habari cha cdm, kiasi kwamba kuna uzi humu jukwaani unaohimiza kitengo cha habari kuamka. Kuna ushauri pia kuhusu Tundu Lisu jinsi ya kufanya siasa zake bila kupoteza credibility yake. Ni vyema kama chama mkakaa na Lisu na kumfunda. Kuna baadhi ya maneno anaongea yanampotezea haiba yake.
Wajaribu waone
Mkuu Crashwise uliadimika sana kiasi kwamba nilihofia kuwa umeunga Juhudi fake za JPMMkuu samahani sana ni neno gani ambalo ambalo huwa analitamka na linakukera..
Kwani namba 1 jana Alifanya kampeniNaye Ataanza Campaign Mapema Kama Mwenzake
NEC Wasije Kumnyima Form Kwakuwa Hana Tatizo
Kwakweli zingatieni sana hilo.Tutazingatia
Lissu hawezi kushinda na kamwe hatakuwa rais wa Tanzania labda jua libadili uelekeo,kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?
Lissu ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu kwani ni selfish person, ni mtu mwenye jazba,hana nidhamu,amejaaa chuki,na anatumika na nchi za magharibi ili kuvuruga mstakari na umoja wa taifa letu,huyu bwana hafai lazima apingwe kwa kila namna .
Harafu mtu anaposema lissu atakuwa rais ni kujidanganya sana,ataongoza serikali ipi ikiwa chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano,hii ni ndoto
Mwambie lissu kuwa amejidanganya na kama anamatumaini ya kuiongoza Tanzania basi kapotea,
Eti mtetezi wa wanyonge,wanyonge wepi hao anaowatetea ?
Wimbo wa corona kwa sasa tumewaachieni nyinyi mbogamboga, kwa sasa ni kuhakikisha tunaenda ikulu mengine yatafuataHapa ndo hua siwaelewi chadema, hapa wanategemea umati mkubwa kumpokea na kumsindikiza Lissu kuchukua fomu, same person anaehojiwa na kudai maambukizi ya corona kuwa makubwa na kuua watu wengi nchini. Na sijaona katika taarifa ya mleta uzi popote akiwatadharisha/kuwaonya watakao mpokea mtu wao kuchukua tahadhari na hatua stahiki za kujilinda wakati wa mapokezi. Nini ni nini, tunatakiwa kumuamini nani kati ya wanaodai corona haipo na wanafanya mambo yao as usual au wanaotuaminisha kuwa corona ipo na inaua ila wanafanya mambo yao kama wasio amini uwepo wa corona nchini?
Mgombea urais chadema jitafakari, unauza mechi aidha kwa kujua au kutokujua
Ungesema mkoa mwingine, Dodoma hawana maana hata kidogo watakaojaa ni wanafunzi wa vyuo na wapenda matukio, kwenye uchaguzi watakuwa makwao, na itabaki kijani kwa asilimia kubwa.WanaJF
Dodoma Inazizima.Ndivyo tunavyoweza kusema kwa Sasa.
Mapokezi kabambe yanamsubiri mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Antipass Lissu ambaye atachukua rasmi fomu Tume ya Taifa ya Uchaguzi kesho siku ya Nane Nane.
Inatarajiwa mgombea huyo kusindikizwa na umati mkubwa wa wakazi wa jiji la Dodoma katika kile kinachoonyesha Imani kubwa waliyo nayo kwa kiongozi huyo.
Mwenyekiti wa Kanda ya Kati Lazaro Nyalandu ametoa wito rasmi kwa wakazi wa jiji la Dodoma na mikoa jirani kumsindikiza mgombea huyo Safari itakayoanzia makao makuu ya Chadema Kanda ya Kati.
Katika mahojiano na wakaazi kadhaa wa jiji Hilo wameonyesha shauku kubwa ya kutaka kumuona Tundu Lissu ikiwa ni miaka mitatu alipoondolewa katika jiji Hilo akiwa nusu mfu baada ya kupigwa risasi kumi na sita na watu wasiojulikana na Sasa anarejea jiji Hilo Hilo akiwa mzima wa afya na akitembea kwa miguu yake miwili huku wabaya wake waliotaka kumuua wakifichama kusikojulikana.
Hapo Jana wanafunzi wa vyuo vikuu vya UDOM, CBE na Mipango walikuwa katika vikao vya namna ya kumsindikiza Lissu ambaye walimwita shujaa wao.
Tundu Lissu amejizolea uungwaji mkono na umaarufu mkubwa kutokana na sera yake ya kuwapa watu Uhuru wa kusema na kutoa maoni yao bila kuingiliwa na vyombo vya Dola endapo atachaguliwa kuwa Rais.Na pia kuruhusu vyama vya siasa, NGO's na vyombo vya Habari kufanya kazi zake kwa Uhuru Kama ilivyokuwa miaka ya nyuma.
Chadema leo inatarajiwa kutoa ratiba njia atakazopita mtetezi huyo wa wanyonge na Msemaji wa wasio na sauti ili walau watu kujipanga majiani kumsalimia na kumsindikiza.
Kwa vile yeye mi mwana Sheri aliyebobea anajua vigezo na masharti ya kugombeaNaye Ataanza Campaign Mapema Kama Mwenzake
NEC Wasije Kumnyima Form Kwakuwa Hana Tatizo
Acha kukariri.Subiri uone.Ungesema mkoa mwingine, Dodoma hawana maana hata kidogo watakaojaa ni wanafunzi wa vyuo na wapenda matukio, kwenye uchaguzi watakuwa makwao, na itabaki kijani kwa asilimia kubwa.
Ha ha HaaaWimbo wa corona kwa sasa tumewaachieni nyinyi mbogamboga, kwa sasa ni kuhakikisha tunaenda ikulu mengine yatafuata
Sawa mkuu mlipo wapoAcha kukariri.Subiri uone.
Huyo ni mpambanaji asiyeyumbaMkuu Crashwise uliadimika sana kiasi kwamba nilihofia kuwa umeunga Juhudi fake za JPM