Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Lissu hawezi kushinda na kamwe hatakuwa rais wa Tanzania labda jua libadili uelekeo,kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?

Lissu ni mtu hatari sana kwa mstakabari wa taifa letu kwani ni selfish person, ni mtu mwenye jazba,hana nidhamu,amejaaa chuki,na anatumika na nchi za magharibi ili kuvuruga mstakari na umoja wa taifa letu,huyu bwana hafai lazima apingwe kwa kila namna .

Harafu mtu anaposema lissu atakuwa rais ni kujidanganya sana,ataongoza serikali ipi ikiwa chama chake hakina uhakika wa kupata japo wabunge watano,hii ni ndoto

Mwambie lissu kuwa amejidanganya na kama anamatumaini ya kuiongoza Tanzania basi kapotea,

Eti mtetezi wa wanyonge,wanyonge wepi hao anaowatetea ?
 
Huo ni ushauri mzito sana.
Inabidi cdm muwe na kamati maalum ya ushauri kwa TL.
Ieleweke anajiandaa kuingia kwenye taasisi kubwa hivyo ni lazima aelewe anachozungumza sio azungumze kila anachokielewa.
Yule anayetukana akiwa amesimama kwenye gari yenye nembo ya bibi na bwana umemsahau mara hii?.
 


We jamaa mnafiki sana.
 

Siku Lissu anaapishwa nimekubook uwe my dancing partner.
 
Polisi watakwambia kuna taarifa za kiintelijensia kutakuwa na uvunjifu wa amani hivyo aende yeye na dereva wake tu.
 
Je, CHADEMA wameshajiridhisha na Tume ya Uchaguzi ( NEC ) kuwa Kesho watakuwepo? Aliyeipanga hii tarehe alikosea na naomba niishie hapa.
 

Umegundua hilo leo? Mbona yuko hivyo muda wote. Nyie jipangeni kufuta kinyesi atachokuwa anakunya kwenye mikutano mna mfuata nyuma kusafisha.
Mdomo wake unahalisha sana.
 
Hapa ndo hua siwaelewi chadema, hapa wanategemea umati mkubwa kumpokea na kumsindikiza Lissu kuchukua fomu, same person anaehojiwa na kudai maambukizi ya corona kuwa makubwa na kuua watu wengi nchini. Na sijaona katika taarifa ya mleta uzi popote akiwatadharisha/kuwaonya watakao mpokea mtu wao kuchukua tahadhari na hatua stahiki za kujilinda wakati wa mapokezi. Nini ni nini, tunatakiwa kumuamini nani kati ya wanaodai corona haipo na wanafanya mambo yao as usual au wanaotuaminisha kuwa corona ipo na inaua ila wanafanya mambo yao kama wasio amini uwepo wa corona nchini?
Mgombea urais chadema jitafakari, unauza mechi aidha kwa kujua au kutokujua
 
Lumumba FC wamesaidia sana. Critism yao kwa maneno makali toka kinywani kwa Lisu. Ashauriwe ili apunguze Munkari...
 
Chuki ysko na upofu wako ndiyo vinakutuma useme hivyo.Iko siku utajutia uchafu huu uliouandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…