Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Wewe hujuelewi waliotufikisha hapa si hao maviccm mpaka tunakuwa maskini wakutupwa? Mambo aliyoyaahidi huyo rais wako ni asilimia ngapi ametimiza? Au unafikiri hatukumbuki mwaka 2015.
 
Sina hakika kama Lissu ameshafika Dodoma tangu arudi kutoka kwenye matibabu; ila cha kwanza, kabla ya kwenda sijui kuchukua fomu au kufanya kitu kingine chochote, afike pale alipomiminiwa risasi, ainame abusu mahali pale amshukuru Mungu kwa kumuokoa na mauti ya wazi maana ardhi ile ilimnenea mema. Na ijulikane hakika yuko Mungu aponyaye. Baada ya hapo aendelee na mishe zake kwenda kuchukua fomu na mengineyo yaendelee.
 
Kamati ya Maandalizi imepokea ushauri wako itaufanyia kazi.Asante sana
 
Maneno kama yapi Tindo?
 
Sifa za mtu wa chato unambambikia lisu sindano ndio kwanza mmechomwa ngojeni dawa isambae mwilini
 
Wimbo wa corona kwa sasa tumewaachieni nyinyi mbogamboga, kwa sasa ni kuhakikisha tunaenda ikulu mengine yatafuata
 
Ungesema mkoa mwingine, Dodoma hawana maana hata kidogo watakaojaa ni wanafunzi wa vyuo na wapenda matukio, kwenye uchaguzi watakuwa makwao, na itabaki kijani kwa asilimia kubwa.
 
Naye Ataanza Campaign Mapema Kama Mwenzake
NEC Wasije Kumnyima Form Kwakuwa Hana Tatizo
Kwa vile yeye mi mwana Sheri aliyebobea anajua vigezo na masharti ya kugombea
 
Ungesema mkoa mwingine, Dodoma hawana maana hata kidogo watakaojaa ni wanafunzi wa vyuo na wapenda matukio, kwenye uchaguzi watakuwa makwao, na itabaki kijani kwa asilimia kubwa.
Acha kukariri.Subiri uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…