Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Maelezo ya tume ni kuwa Siku zilizopangwa kuchukua na kurudisha fomu zimetajwa kwa idadi na tarehe na 8/8 iko within.Je, CHADEMA wameshajiridhisha na Tume ya Uchaguzi ( NEC ) kuwa Kesho watakuwepo? Aliyeipanga hii tarehe alikosea na naomba niishie hapa.
Hata hivyo kwa vile NEC wanajinasibu hawafanyi kazi kihuni, tokea Chadema wataje siku yao ya kuchukua fomu wangeweza kusema mbona tutakuwa tumefunga!