Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Je, CHADEMA wameshajiridhisha na Tume ya Uchaguzi ( NEC ) kuwa Kesho watakuwepo? Aliyeipanga hii tarehe alikosea na naomba niishie hapa.
Maelezo ya tume ni kuwa Siku zilizopangwa kuchukua na kurudisha fomu zimetajwa kwa idadi na tarehe na 8/8 iko within.
Hata hivyo kwa vile NEC wanajinasibu hawafanyi kazi kihuni, tokea Chadema wataje siku yao ya kuchukua fomu wangeweza kusema mbona tutakuwa tumefunga!
 
Huo ni ushauri mzito sana.
Inabidi cdm muwe na kamati maalum ya ushauri kwa TL.
Ieleweke anajiandaa kuingia kwenye taasisi kubwa hivyo ni lazima aelewe anachozungumza sio azungumze kila anachokielewa.
Hii ni point unajua Lissu ni hazina ya maarifa mpaka anapitiliza sisi tunamwelewa lakini kuna wale watanzania uelewa wao sio mkubwa sana ndio wanapata shida.

Anyway itabdi apunguze kumwaga nondo sana ili aendane na walio wengi wa wajumbe.
 
Inaweza tokea wakafunga siku hiyo. Wakaja sema mbona nchi nzima ni sikukuu nyie hamkujua??
 
Me ni MwanaChadema,upo right sana
 
Wakuu mnatoa ushauri mzuri sana Najua viongozi wa CDM wanapita humu vizuri wakazingatia Ushauri wa Wadau Wengi kwa maoni yangu ni ustawi wa chama chenu kuelekea kwenye uchaguzi
 
Ondoa shaka mkuu ...ikifika kipindi hk NEC huwa haina J2 wala ckukuu ..na kesho ndo ratiba yetu hvyo bc Kama kungekuwa na sikukuu bc wangetupa tarehe nyingine

This sounds good.
 
Akumbuke tu huo ndo mji ulioweka historia ya uhai wake, ikibidi atembelee eneo la tukio kutoa sadaka na aende hospitaliya mkoa kuwashukuru madaktari na manesi, zaidi ya yote awe MAKINI.
Tatizo watamruhusu kufika kote huko?
 
Mkuu ndo ivo tena
 
Kwa nyie FAO la kujitoa linarudi...madaraja mtapanda kwa mujibu wa sheria na kanuni za mtumishi wa umma.
Nidhamu yaani kuheshimiana... si kutukanwa na kudhalilishwa mbele ya umati.
Hivi watumishi wa umma yaani waalimu, waganga, polisi, JWTZ, maofisini, na wastaafu no maneno gani mazuri mengine zaidi ya haya utawaambia?
Kweli kabisa #NIYEYE2020
 
Hivi watumishi wa umma yaani waalimu, waganga, polisi, JWTZ, maofisini, na wastaafu no maneno gani mazuri mengine zaidi ya haya utawaambia?
Kweli kabisa #NIYEYE2020
Kila mtumishi anastahili heshima
 
AWE MAKINI NA ZICHUKULIWE HATUA ZA MAKUSUDI KUWATAHADHARISHA POLISI KUHUSU UHAI WA MHESHIMIWA TINDU LISSU ....IGP RPC AMIRI JESHI MKUU NI WALE WALE !
 
Binafsi sioni dhambi vyama vyote kumuunga mkono Magufuli amalize kipindi chake. Otherwise ni kupoteza fedha na rasilimali. Uchaguzi si vita, bali mchezo wa hesabu. Namba zilishagoma kwingine.
Magufuli ndo nini mkuu, sera au ilani
 
Wanyonge sisi...... yaani mpk mteme nyongo safari hii by the way endelea kuenjoy buku saba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…