Kibwengo
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 6,826
- 5,302
Kaoshe utupu wakoLeo siyo siku ya kazi. Yaani hawa hata hawajielewi. Sasa sijui watamkuta nani.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaoshe utupu wakoLeo siyo siku ya kazi. Yaani hawa hata hawajielewi. Sasa sijui watamkuta nani.
Hakika ni Yeye 2020
Usiyempenda kajaLeo siyo siku ya kazi. Yaani hawa hata hawajielewi. Sasa sijui watamkuta nani.
Na bado utashangaa sana. Kama mkao wa kushangaa kabisa.Mimi hapa ndipo CHADEMA nawashangaa!
HakikaUsiyempenda kaja
Mimi siteseki,ila nitaumia sana sana kama itatokea Lissu akaanza kusumbuana na Tume kwa jambo dogo tu ambao lingeweza kuzuilika.Nitaumia sana.Nawatakieni kila la heri.Mbona nyinyi mlitoa kabisa taarifa ya Mwenyekiti wenu mkihitaji wanachama wenu na watu walienda nae kuchukua form?! Baada ya hapo mkafanya na campaign kabisaa. Hapa mnateseka nini?!
#Niyeye2020Ni Yeye
Hayo yatakuwa matumizi mabaya ya maumivu,Lissu kanyaga twende hawa kenge walitutesa sanaMimi siteseki,ila nitaumia sana sana kama itatokea Lissu akaanza kusumbuana na Tume kwa jambo dogo tu ambalo ambao linaweza kuzuilika.Nitaumia sana.
Upo!!!???Watafungua ofisi ilihali ni public holiday?
Watu wa aina yako nawafikiria ni miongoni mwa waliopandikizwa kuharibu tumaini la kweli.Hayo yatakuwa matumizi mabaya ya maumivu,Lissu kanyaga twende hawa kenge walitutesa sana
Watu wa aina yako nawafikiria ni miongoni mwa waliopandikizwa kuharibu tumaini la kweli.
Leo siyo siku ya kazi. Yaani hawa hata hawajielewi. Sasa sijui watamkuta nani.
Lissu kuwa Ikulu ndiyo heri ninayo itaka,kwa hiyo dalili zote zote hasa za kitoto zinazoashiria kukwamisha heri hiyo ndizo ninazozichukia.Endelea kufikiri mpaka ukija kupata jibu utamkuta Lissu yuko ikulu na mwenzie yuko chato analea wajukuu
Karibuni sanaMsafara wa wanafunzi unatoka hapa cbe kwenda kumuunga mkono raisi wao Tundu Lissu
Nimejikuta nachekaHuna akili kamchemshie mama yako wa kambo maji ya kuoga
Upo???Leo siyo siku ya kazi. Yaani hawa hata hawajielewi. Sasa sijui watamkuta nani.