Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Mbona nyinyi mlitoa kabisa taarifa ya Mwenyekiti wenu mkihitaji wanachama wenu na watu walienda nae kuchukua form?! Baada ya hapo mkafanya na campaign kabisaa. Hapa mnateseka nini?!
Mimi siteseki,ila nitaumia sana sana kama itatokea Lissu akaanza kusumbuana na Tume kwa jambo dogo tu ambao lingeweza kuzuilika.Nitaumia sana.Nawatakieni kila la heri.
 
Endelea kufikiri mpaka ukija kupata jibu utamkuta Lissu yuko ikulu na mwenzie yuko chato analea wajukuu
Lissu kuwa Ikulu ndiyo heri ninayo itaka,kwa hiyo dalili zote zote hasa za kitoto zinazoashiria kukwamisha heri hiyo ndizo ninazozichukia.
 
Back
Top Bottom