Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

This is a very critical question kijana
 
nzuri sana hii...
 
Tafsiri ya democrasia ni moja, ni kutekeleza maamuzi/ mawazo ya wengi. Tutofautishe demokrasia na vitendo kama udikteta, wizi wa kura na kung'ang'ania madaraka. Shida iliyopo ni kujua usahihi wa kile kinachoitwa ni mawazo ya wengi kama ni sahihi au kimetengenezwa.

Off the topic, kama una vitabu elementary vya kujifunza Kitaliano au Kispaniola njoo inbox.
 
Asante!Wewe umenena Yale yalioko kwenye Viunga ya Moyo(mind)wangu.
 
Democracy as defined by Abraham Lincoln, the sixteenth president of the USA, is government of the people for the people and by the people. ... That is, the interest of the people should superintend over even that of government officials.
Kwa kulingana na maana hiyo hapa kwetu Africa hasa Tanzania kinachoitwa democracy si democracy kwakweli na Wala hakijawahi kuakisi maana halisi ya democracy,Bali kile kilichopo ni nguvu za mwananchi kupokwa na mtawala na hivyo mwananchi aliyepaswa awe na nguvu ya kumuwajibisha mtawala nguvu hizo zinakoma pale mtawala anapoingia madarakani Mara baada ya kushinda uchaguzi ambao kwa mazingira yake una tabia za kiuteuzi tu.Unapojadili kwamba hii tunayoishuhudia leo ni Zao la kidemokrasia tunakuwa hatujatendea haki Mfumo wa kidemokrasia kwa kuwa Hakuna sifa bainifu za kidemokrasia unazoweza kuziona katika baadhi ya tawala za Kiafrika,Kwahivyo tutafute neno lingine tuite Mfumo wetu wa kiutawala ambao itakuwa na sifa ya kiafrika.Hakuna Demokrasia ya kuzuia Maoni Kama yana lengo la kuelezea ubovu wa Mfumo ya kiutawala ya kiserikali.Jacques Rosseau wa ufaransa anaeleza kuwa "Man is born free and everywhere he is found in chains" tafsiri "Mtu huzaliwa huru lakini Kila mahali hujipata na mitanziko(pingu).
Mwisho ili tupate democracy ya kweli lazima Maslahi ya wananchi yawe na nguvu na uwezo kuliko ya watawala hata Kama watawala hao wamepewa dhamana hiyo na wananchi.
Cyrus Monroe.Political Analyst±255785310892
 
Umeandika Makala ndefu sana kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…