Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Magufuli amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
 
Vipi dogo! Unabisha!? 😅

Niliongea kabla ya matukio nchi fulani ya asali na maziwa mgando!

Everyday is Saturday................................😎
Bado nina imani siku moja Afrika yetu itakuwa mbali sana zaidi ya sasa
 
um
Umejibu kihalisia sana uko sawa
 
Ukikuta mtu anakupa jibu eti NDIYO au HAPANA jua huyo ni mbumbumbu mzungu wa reli, ambaye wala hajui anachokizungumza. Kuna mwalimu wangu mmoja akikuuliza swali na ukajibu ndiyo au hapana ilikuwa lazima akuwashe kelebu moja ya nguvu na kukuita lofa...
 
Theoretically the meaning or definition of DEMOCRACY is the same Worldwide. But practically each country has its own way of practice that democracy.

Like here in "Tasmania" tunasema "Wengi Wape" but in reality only few (Tume, Tiss) decides ni group gani la hao wengi wanaotakiwa kupewa.
 

So if the country has no democracy, it does not have a stable society?
 

Wazungu unaowatolea mifano ni wapi hao? Tuanzie hapo...
 

Wazungu unaowatolea mfano ni wapi hao? Tuanzie hapo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…