Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

Definition tofauti ya demokrasia anayo Magufuli na CCM. Kwao demokrasia maana yake wizi na kutumia vyombo vya dola kuulinda huo wizi.
Vyombo vya dola vinalinda wizi? Kuanzia lini mkuu?
 
Kesi moja, katika kila matukio zaidi ya 100,000! Napo naamini Zombe kuna kitu aliwakosea mabosi wake, atakuwa aliwanyima mgao. Ndiyo maana wakamkaanga!

Ukweli mchungu, police brutality ni suala la kimfumo, psychologically wananchi wameathirika wanaelewa hakuna wa kuwasaidia. Mfumo upo kuwasaidia wana usalama!' Za kubrashia'!
Mhhh...
 
Angalia huyo Raisi wa 'Tasmania' kila 'alipotembea' na 'akasimamishwa' malalamiko karibia yote ya wananchi wake ni juu ya unyanyasaji na uminywaji haki ukianzia polisi.
Changamoto za raia na Police zipo nchi zote dunia nzima
 
Nikukumbushe, Kamanda Zombe kesi yake imekamilika juzijuzi tu na waliohusika na mauaji yale mmoja/wawili wao wamekula first degree murder case, wengine miaka ya kutosha.
Tena yule jamaa alikuwa ni OCCID wa Kinondoni kama sijakosea...
 
Waliomuua waliwajibishwa,Joe Biden aliyewahi kuwa makamu wa Rais na anayeweza kuwa Rais ajaye alilaani mauaji hayo.
Obama ambaye ni Rais mstaafu alilaani mauaji hayo
Pelosi Spika wa bunge la Marekani alilaani mauaji hayo.
Halafu fahamu pia polisi Marekani ni suala la kimajimbo sio la kitaifa,kuna majimbo yana matatizo ya kipolisi na kuna majimbo yenye huduma nzuri zaidi za kipolisi.
Haya rudi nchini kwako sasa.
Umejitahidi kufafanua uongo wako
 
Back
Top Bottom