mtu anaeomba ushauri kwenye mambo sensitive hivi ni lazima aendelee kutom bewa,
huyo dogo ngeu, ngumi kali sana ya pua nampiga ngumi puani maumivu hadi miguuni ha ha,
hata kwenye hali ya kawaida mafahali wawili hamuwezi mkachekeana mbele ya mwali yani ningemkarakasha tu ningembonya tu mbele ya wife,
ulisikia wapi punda dume wawili na jike mmoja kwenye zizi moja hapo lazima zichapwe kujihakikishia burudani
utapigwa bila kupenda ndani ya zizi utatolewa ngeu ili tu watu wapate burudani kwa utulivu wewe ukiwa unachechemea over.