Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Usicheke na nyani utavuna mabua. Huyo dogo mtimue mbele yake. Mkeo akilalama mwambie nae aondoke akapumzike kwanza kwao.
 
Dadeki ushapandishwa cheo mjuba umekuwa bwana mkubwa
 
Huyo dogo ungemtimua mbele ya mkeo, halafu mkeo akileta mdomo fukuza na yeye mazoea ya kijinga sana hayo. Mwambie mkeo ukweli kama analeta mdomo mpe mapumziko unakuwaje mnyonge kiasi hicho. Huyo Form3 mwambie bayana hautaki mazoea na ndani kwako.
Tumia akili hiyo kushughulikia hilo swala.
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Chai chai chai.
 
Deal na mkeo kwanza,La pili mpange kuzaa mambo yanapunguaga huko mbeleni .
 
Muachie akila mara mbili ataona hana tofauti na wengine, ataacha.
 
Mimi mke nikimkuta hata anasalimiana na mwanaume ile sijui habari za asubuhi!yeye mwenyewe anaanza kutetemeka hapohapo anajua patachimbika.

Huwa sicheki hovyo na mwanamke wa aina yoyote yule awe mke wangu au mwingine! na nyumbani kwangu haingii mwanaume yoyote asiekuwa nduguyangu au wa mke wangu.

Ningeanzisha timbwili lisingesaulika kwenye hiyo nyumba na mke wangu angeenda likizo ya miezi 6 kwao! mtaani kwangu sinaga mazoea yakijinga na mtu yoyote yule.
 
Ulitakiwa kumchapa bakora huyo dogo mbele ya mke wako, alafu unampiga marufuku kukanyaga ndani kwako huku ukimwambia uchafu wake na huyo wife wako ungemkata banzi mbele ya dogo baada ya hapo unawaambia siku ukiwakuta tena unawafungisha ndoa hapo hapo.... ACHA MAZOEA SANA NA MKEO, MKE ANATAKIWA AKUOGOPE NA AKUHESHIMU.. NIMEONA WEWE NI MWANAUME DHAIFU SANA EITHER KIMWILI NA KIAKILI, MPAKA DOGO ANAKUDHARAU ADI ANAINGIA NA VIATU KWAKO, MWANAUME UNATAKIWA KUOGOPWA NA VIJANA WA MTAA MZIMA.
Hili nalo neno
 
Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?

Ukiona manyoya ujue ameliwa...
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Yaani nimkute mke wangu na dogo wa aina hyo alafu niulize nijibiwe ovyo,na ukichukulia nimemkuta dogo na viatu kwenye makochi.we una shida mkuu
 
Ukishakosa kauliza za kiume basi tena sisi hatuna msaada na wewe
 
Kuwa makini dogo atasambaza upendo kwa wake zenu wote, ila kweli mke wa mtu unatoka na mtoto wa kidato cha 3? Kweli anakuchungulia hivi hivi aah
Yaweza kua mke Wa jamaa ni miaka 17 au 18 hata 19 hivyo anafeel ni age mate wake tu labda
 
Kifupi hapo huyo ni mme mwenzio kuwa mpole samehe maisha yaende tu
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Ndondondo si chururu. ....... We endelea kuomba ushauri tu litakukuta jambo
 
Back
Top Bottom