Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

Zuia hiyo kenge isiingie ndani kwako na mkeo atambue hilo!
😂😂😂😂😂 daaah, alitakiwa alivyomkuta amtimue na ajue kajua kwamba hamtaki pale, mkuu umenichekesha eti kenge 😂😂😂😂😂😂 aisee acha kabisaaa
 
Andaa laki Tano wape wahuni wamfire huku wanamrekodi wakimaliza waongeze laki Kwa kazi mzuri.
 
Na usikutee mkuu story za dogo kumlaa jirani Yako kakupa mkeo [emoji23][emoji23][emoji23] alafu Leo hii unamkuta mkeo na dogo live daaaaaaa.

Wanawakee wengine nyoko Sanaa.

Kataa NDOA kijana...
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Piga chini huyo mwanamke kama unachomwambia haelewi,aende akaolewe na huyo dogo
 
na ubayaa tayari dogo ana historia ya kumlaaaa mke wa jirani
Me ningemkuta ningemtimua kala upande wa pili katosheka kahamishia majesh upande wa mke wa jamaa na mademu si wanasimulianaga ukute dogo chini ana chupa ya uhai sasa inamtesa huyu mke wa mshikaji, aaah noma sana
 
lazima wameadiathiana mafalaa hao ndo maana anataka kuliwaa nae
 
Unakubali vipi kwenda kuishi kwenye nyumba ya namna hiyo Mkuu? Naona kama ulichelewa sana hadi yanaanza kukuta. Ulidhani akiachana na mke wa mwenzio atamfuata yupi?

Hakuna ushauri mwingine zaidi ya kukomesha mazoea ya huyo mjinga na mkeo. Sijui kwanini wakiona wako single hawawafuati? Wanangoja hadi mtu abebe mzigo.

Wanachofanya hao wajinga ni kukuponda tu kwa mkeo ili wao sasa ndiyo waonekane wa maana. Fanya kila njia uvunje tu hayo mazoea kwa hali yoyote ile.

Ila jambo kubwa zaidi ni kuhama tu hiyo nyumba.

Ova
Siwezi kuhama sababu ya mwanamke mjinga asiejitambua
 
Wakuu mulibwanji?

Aisee hapa nlipohamia sasa nina miezi 8 nilikuta kuna mpangaji 1 na mwenye nyumba mimi nikawa mpangaji wa pili, huyu ndugu niliyemkuta alikuwa anaishi na mkewe na hawana mtoto wala mtu mwngne wanayeishi naye.

Habari niliyoikuta hapa ni kwamba mtoto wa kiume wa mwenye nyumba anatembea na mke wa huyu tuliyemkuta hapa na dogo mwenyewe yupo kidato cha 3 tu.

Jamaa anatoka asubuhi anarudi usiku kumbe huku nyuma mkewe kula kulala anatomb.Wa na uyo dogo tena kwenye ktanda cha mshkaji na mkewe.

Na mwanamke alishakolea kbs bt walishaachana sasa naona dogo amekuwa na mazoea makubwa na mwanamke wangu juzi nilirud ghafla nyumban namkuta dogo amejiachia sebuleni kwangu kama kwake vile kwanza kaingia amevaa viatu kaweka miguu juu ya sofa na viatu.

Mwanamke wangu alikuwemo naye amekaa anachambua mchele wanakula story tu nlichukia sana nikamueleza lakini alinijbu majbu yasiyoridhisha kbs mpaka ukawa ugomvi kabisa.

Wakuu mnanishauri nini?
Dogo anaonekana injini kiuno,hama haraka!
 
Siwezi kuhama sababu ya mwanamke mjinga asiejitambua
No! Uhame kwa sababu umedhalilishwa na kudharaulika. Mtu anayekuja kuchukua mke wako ni lazima atangulie kukudharau kwanza.

Kaa mbali na hizo dharau mkuu. Achana nao hao watu, waondoe kwenye maisha yako haraka. Hawsstahili.

Ova
 
Piga chini huyo mwanamke kama unachomwambia haelewi,aende akaolewe na huyo dogo
Mimi ndio maana huwa sitaki mchezo na mwanamke! mke wangu naishi nae mkono wa chuma since day one nimemuoa bado bibi harusi kabisa na hina kibao nikamwambia sitaki utani hata na shemeji zako yaani nduguzangu.

Mimi namjali na kumheshim sana na nijitahidi sana kutimiza majukum yangu! hata kwenye mjegejo sinaga mchezo wala mazoea ya ndoa napiga mashine kama vile ni malaya nimempata leo.

Mimi huwa sina mambo ya kuchepuka hata kidogo kwahiyo nilishamwambia siitaji mazoea na mwanaume yoyote asiekuwa nduguyangu au wa kwake! nilimwambia usiniletee mzaha na ujinga kwenye ndoa nitakufukuza mara moja na nitaenda kuweka kikao kwenu.

Nitamwambia baba yako na mama yako kuwa huyu ni mshenzi kama ni kutiwa namtia hadi anazima kwahiyo huu ni mizigo wako nakuachia mzee.
 
Mkuu ukitaka dogo akome Ina bidi nawewe uanze mazoea nae

Kwamfano una weza kumshika tako afu ukasema dogo naona ukovizuri eehh huku ukimkonyeza kwamacho

Afu unamwambia nasubiri tu uje unase mtego wangu aiseeh utani kubari Kisha pita
 
Back
Top Bottom