Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Jua kali walianza vizuri sana watu wakaipenda Ila badae sijui ikawaje unaweza kuwa busy week 2 usiangalie, siku ukija kuangalia week ya 3 unakuta watu bado wako pale pale sebuleni wanalia ulipoacha last time.Kingine kinachoniuzi ni Drama zinazungushwa sana Esp: Jua kali
ifike mahala kitu kiishe kianze kingine