Dogo Edu wa Tamthilia ya Pazia ndiye muigizaji Bora kijana atakayekuja kushika Bongomovie

Kingine kinachoniuzi ni Drama zinazungushwa sana Esp: Jua kali
ifike mahala kitu kiishe kianze kingine
Jua kali walianza vizuri sana watu wakaipenda Ila badae sijui ikawaje unaweza kuwa busy week 2 usiangalie, siku ukija kuangalia week ya 3 unakuta watu bado wako pale pale sebuleni wanalia ulipoacha last time.
 
Alafu mapenzi sio muda wote. Muda mwingi ni kazi. Mapenzi ni kionjo au kiungo cha mboga jikoni.
Wakumbuke Kanumba
1. Anko JJ
2. Ile aliyoigiza na Ramsey Noah
3. Ile aliiigiza tena na wale watoto kuwasomesha mjini

Unaona kabisa Mapenzi hayapo kabisa.
Inatakiwa dhamira ya filamu au tamthiliya ijulikane.

Pia sidhani kama hawa jamaa mfano huba hii tamthiliya yao ipo kwenye maandishi mwanzo mpaka mwisho au ndio ile mtunzi kila wiki anakaa anaandika episode inayofuata.
 
Mapenzi kuwepo ni muhimu kama kionjo, lakini kuyafanya ndio Maisha hapo ndipo wanakwama.

Siri ya mtungi ni Tamthilia nzuri ambayo inahusu mapenzi lakini imechukua mambo mengi na Kwa upana wake na matokeo yake.
 
Pia Bongo movies tujifunze kumaliza tamthiliya zetu.

Mfano Huba hivi ina miaka mingapi.

Tutunge mpya. Tatapata mawazo mapya namna ulimwengu unavyoenda.

Target ya soko iwe international

Tofauti na hapo ni kupoteza Muda.
 
Jua kali walianza vizuri sana watu wakaipenda Ila badae sijui ikawaje unaweza kuwa busy week 2 usiangalie, siku ukija kuangalia week ya 3 unakuta watu bado wako pale pale sebuleni wanalia ulipoacha last time.
Yani kisa tu ndo kinazungushwa zunhushwa bila sababu jua kali ilitakiwa iishe kitambo sana
Yaani mazungumzo mengi alafu hakuna jipya.
Ni kama mtunzi hajui anachokifanya, anazungusha mambo mchezo unadorora.
unadorora na wengine tunaachana nao kabisa
 
Yani kisa tu ndo kinazungushwa zunhushwa bila sababu jua kali ilitakiwa iishe kitambo sana

unadorora na wengine tunaachana nao kabisa

Wanafanya Kwa mazoea.
Waigizaji Hawana shida Kwa sababu wao wanaitwa kuigiza, tatizo lipo Kwa waandaaji wa stori na waongozaji.
 
Mapenzi kuwepo ni muhimu kama kionjo, lakini kuyafanya ndio Maisha hapo ndipo wanakwama.

Siri ya mtungi ni Tamthilia nzuri ambayo inahusu mapenzi lakini imechukua mambo mengi na Kwa upana wake na matokeo yake.
Mkuu si lazima Mapenzi yawepo. Kuna tamthiliya na movies zinafanya vyema sana bila uwepo wa mapenzi.

Ni ushauri tu, watunzi wetu wajifunze kuwaza nje ya Box. Kutarget soko Fulani.
 
Pia Bongo movies tujifunze kumaliza tamthiliya zetu.

Mfano Huba hivi ina miaka mingapi.

Tutunge mpya. Tatapata mawazo mapya namna ulimwengu unavyoenda.

Target ya soko iwe international

Tofauti na hapo ni kupoteza Muda.

Tamthilia inaweza kuwa ndefu lakini iwe na ubunifu wa visa na mikasa mipya.
Uibuaji wa migogoro mipya pamoja na namna ya kuimaliza kutakako toa mafunzo Kwa watazamaji. Hapo wengi ndio wanakwama.
 
Mkuu si lazima Mapenzi yawepo. Kuna tamthiliya na movies zinafanya vyema sana bila uwepo wa mapenzi.

Ni ushauri tu, watunzi wetu wajifunze kuwaza nje ya Box. Kutarget soko Fulani.

Ni kweli sio lazima mapenzi kuwepo.
Inategemea na Aina ya filamu au Tamthilia.
Ni ngumu kuyatenganisha Maisha ya Mwanadamu na Mapenzi.
Kwa sababu Watu wapo vile walivyo Kwa sababu ya athari za mapenzi.

Ila kuyafanya mapenzi kama ndio dira ya Maisha hapo ndio kosa linapotokea,
 
Jua kali inakela sana ni kama picha la kihindi huba naipenda sana
 
Mkwamo unaotokana na ubunifu mdogo WA visa na mikasa mipya ndio tatizo.
Kuunganisha matukio yalete maana na ladha Napo ni changamoto.
Kuvifanya visa vivutie na kuwapa watazamaji mtazamo Mpya na ujenzi wa fikra Mpya za kuikomboa jamii imekuwa ni kazi iliyoshindikana.

Wanaojitahidi nao, wanaijenga jamii katika ukale yaani wanairudisha Nyuma jamii ilikotoka badala ya kuipeleka Mbele mahali ambapo Dunia inakwenda.
 
Mtunzi wa huba yupo vzr
 
Tamthilia inaweza kuwa ndefu lakini iwe na ubunifu wa visa na mikasa mipya.
Uibuaji wa migogoro mipya pamoja na namna ya kuimaliza kutakako toa mafunzo Kwa watazamaji. Hapo wengi ndio wanakwama.

Sasa kwa hizi Bongo movies ni tatizo.

Unakuja kuangalia episode baada ya wiki tatu wenzako unakuta wamesogea masaa 2 tu kwenye matukio ya series.

Sijui wanafanya kwa lengo gani.
 
Ni kweli sio lazima mapenzi kuwepo.
Inategemea na Aina ya filamu au Tamthilia.
Ni ngumu kuyatenganisha Maisha ya Mwanadamu na Mapenzi.
Kwa sababu Watu wapo vile walivyo Kwa sababu ya athari za mapenzi.

Ila kuyafanya mapenzi kama ndio dira ya Maisha hapo ndio kosa linapotokea,

Kuna watu wanapenda Sana mfano
1. Magari
2. Uharamia
3. Jeshi
4. Siasa
5. Ujasusi.
6. Mila na desturi.
7. Safari.
8. Mambo ya kufikirika.
9. Racing

Kuna watu wana taaluma
1. Udaktari
2. Masuala ya kodi
3. Kilimo
4. Fedha
5. Uhusiano wa kimataifa.

Hizo zote ni projects mtunzi anaweza akachagua kitu kimoja akatulia akatunga kitu kizuri Kwa kupata uzoefu kutoka kwa wenye taaluma au utaalam wa mambo hayo.
 
Back
Top Bottom