Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

Achukue demu la chuga hawa wenye anwani tatu sio mpango kabisa. Dogo kama kitu hapo chuga, hutajuta mwanangu arifu.
 
Hii nchi ina vichekesho kuliko Comedy Central
 
Kiranga sio tabia nzuri kuandika malugha magumu kiasi hiki, umeshindwa nini kumalizia na kiswahili tu?
Hujatusomesha ujue!
Elimu yetu ya hapa na pale kama vipi washawishi huko kwakina Trump kiswahili iwe lugha yao pia.
Salam nyingi kwa Al watan nduguyo wa damu.
 
Mlaumu Behaviourist

Nimekuja kiubuyu ubuyu hapa poa, yeye kaanza kunitajia ma theory ya kusoma kinyumenyume ambayo hata alama zake kwenye keyboard hazipo.

Ndipo alipochokosa mambo.

Nimemwambia tunakaba pote mpaka penati.
 
Wanazingua tu hawajaachana, wameamua kucheza na akili za watanzania cuz wanajua huwa tunapenda sana ubuyu.
 
Wanazingua tu hawajaachana, wameamua kucheza na akili za watanzania cuz wanajua huwa tunapenda sana ubuyu.
 
Dah Dogo atakufa kweli na vile alikuwa amezoea kulelewa na like jimama afu limemuachia na mkono Wa nyan kama lilivyofanya kwa yule mrwanda
We umeona stress za mapenzi tu ndo zitamuua Janjaro? Ngoma je?
Kafaidi wapi janjaro inawezekana kabisa kaachiwa ngwengwe maana manzi alikuwa anatembea na mshkaji flan anaitwa ababuu nae ni marehemu sasa...acha chaini iendeleeView attachment 870397
Haaaaa ndo nin mkono wa nyani
JULIANA =HIV
Labda analia kwa kuachiwa ngoma kama mdau mmoja alivyosema hapo juu

=======================
MKONO WA NYANI ni NOMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…