Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Haya wale wa age is just a number mkuje hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee acha[emoji15][emoji15]Wasukuma wanaitaga Juliana . au kama hujaelewa bas nipm
UkimwiMi hata sijaelewa kitu nimetoka empty,
Nyie vijana mnapenda sana mizigo iliyowazidi umri itawamaliza na mtabaki maskiniDah Dogo atakufa kweli na vile alikuwa amezoea kulelewa na like jimama afu limemuachia na mkono Wa nyan kama lilivyofanya kwa yule mrwanda
Comment ya kizazi Sana hii..na ukute kweli wa watoto watatu.ukute mleta uzi huu ni baba wa watoto watatu.. duh!
Hapa nahc atakuwa munalove mkuu maana nae yupo vzr mambo ya kirohoLitakua kanisa la mamalaya wasioenda mbingun kwanza pastor atakua nani na bible gan watatumia
lakini amelikuna hilo linamaHuyu mvulana alijichanganya tu kwa lile dude na tako lake baya
nimecheka kwa sautiiii mpaka nimejishtukiaaaaaa.....LOLukute mleta uzi huu ni baba wa watoto watatu.. duh!
Huu mbinuko....Bora kula kwa macho,ukikumbuka zile mbinuko zake na tako lazima uwe kichaa
Wanamaanisha ukimwi,ngwengwe,ngoma,umeme mkuuMi hata sijaelewa kitu nimetoka empty,
maana yake Ni ngomaMi hata sijaelewa kitu nimetoka empty,
Kiranga sio tabia nzuri kuandika malugha magumu kiasi hiki, umeshindwa nini kumalizia na kiswahili tu?Muandishi mashuhuri wa vitabu vya historia wa Uingereza - huyu Behaviourist kanifanya mimi intellectual, sasa nishampeleka kwenye ubuyu namrudisha kwenye u intellectual- Paul Johnson, alihojiwa na kipindi kimoja cha BookTV C-Span Marekani.
Akawa anatoa maoni yake, kipindihicho ndiyo Obama anakuwa Rais.
Akawaanaongelea usomi usomi, akaulizwa, utapenda RaisObama awe msomi msomi atuondoe kwenye ujinga wa Bush?
Akasema hatapendelea, wasomiwasomi wakiendeleza usomi sana wanakuwa boring, halafu wanafanya mambo kwa vitabu sana mpaka wanaharibu.
Angependa kuona Obama anakuwa anachanganya werevu wa kisomi na werevu wa kimtaa mtaa.
Sasa rafiki yangu Behaviourist asishangae akinikuta najichanganya kutoka ma "logical non sequitur" kwenye philosophy of religion, mpaka stories ya ku destress za Dogo Janja.
Dogo Janja anaweza kujadiliwa in the highbrow prism of a post-modernist existential Shakespearean fool's tragicomic Romeo and Juliet analogy.
Mlaumu BehaviouristKiranga sio tabia nzuri kuandika malugha magumu kiasi hiki, umeshindwa nini kumalizia na kiswahili tu?
Hujatusomesha ujue!
Elimu yetu ya hapa na pale kama vipi washawishi huko kwakina Trump kiswahili iwe lugha yao pia.
Salam nyingi kwa Al watan nduguyo wa damu.
Dah Dogo atakufa kweli na vile alikuwa amezoea kulelewa na like jimama afu limemuachia na mkono Wa nyan kama lilivyofanya kwa yule mrwanda
We umeona stress za mapenzi tu ndo zitamuua Janjaro? Ngoma je?
Kafaidi wapi janjaro inawezekana kabisa kaachiwa ngwengwe maana manzi alikuwa anatembea na mshkaji flan anaitwa ababuu nae ni marehemu sasa...acha chaini iendeleeView attachment 870397
Haaaaa ndo nin mkono wa nyani
JULIANA =HIV
Labda analia kwa kuachiwa ngoma kama mdau mmoja alivyosema hapo juu
Kwani walishawahi kuwa pamoja?Wanazingua tu hawajaachana, wameamua kucheza na akili za watanzania cuz wanajua huwa tunapenda sana ubuyu.