nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Shukrani mkuu vip hujawai kutana na kadhia kama hiyo?Naamini atakuwa anapimwa utii wake tu yeye aende amna kifo hapo wala jinai. Wachawi na viongozi wanapshana kidogo tu ila wote wanapenda sifa kutukuzwa akamtukuze tu yaishe๐๐๐
Kwa vip bossPesa tu inatafutwa huko
Kwa vip boss
mbona unanitisha mkuu, dogo mgeni kabisa huku ndio nimemwambia akajieleze kua yeye ni mgeni na akaombe samahaniHuko haendi kwa maongezi watamzuia kutoka mpaka alipe faini kwa kosa watakalolibuni hapo happ ofisini
mbona unanitisha mkuu, dogo mgeni kabisa huku ndio nimemwambia akajieleze kua yeye ni mgeni na akaombe samahani
kuna memba anasema ataenda kuzuiliwa kutoka adi alipe faini, mhNaamini atakuwa anapimwa utii wake tu yeye aende amna kifo hapo wala jinai. Wachawi na viongozi wanapshana kidogo tu ila wote wanapenda sifa kutukuzwa akamtukuze tu yaishe๐๐๐
Mkuu kwamba akienda kusema yeye ni mgeni atasumbuliwa?Asiombe samahani tu bali aombe muongozo na taratibu zake. Anaweza wauliza majirani zake hapo wakampa mwangaza
Nishakutana nayo kwa hali yakujisahau tu, kiukwel ni utaratbu uliwekwa kitaifa kila jumamosi ya mwsho wa mwezi ni usafi Tanzania nzima, ofis zinafunguliwa saa 4 ukikutwa upo wazi na hujafanya usafi kama kulkua na eneo la usafi wa kjumuishi faini ilkua ni buku 5, ila kama kulikua hamna sehemu ya usafi jumuishi una make sure eneo lako lilikuzungunga unalifanyia usafi unafungua ata saa 3 wakipita hawana shida na wewe.Shukrani mkuu vip hujawai kutana na kadhia kama hiyo?
Kwa level ya Halmashauri swala la kutofanya usafi siyo kosa la kubuni ni kosa kweli ๐Huko haendi kwa maongezi watamzuia kutoka mpaka alipe faini kwa kosa watakalolibuni hapo happ ofisini
kuna jirani yake kamtisha et faini ni laki mbiliNishakutana nayo kwa hali yakujisahau tu, kiukwel ni utaratbu uliwekwa kitaifa kila jumamosi ya mwsho wa mwezi ni usafi Tanzania nzima, ofis zinafunguliwa saa 4 ukikutwa upo wazi na hujafanya usafi kama kulkua na eneo la usafi wa kjumuishi faini ilkua ni buku 5, ila kama kulikua hamna sehemu ya usafi jumuishi una make sure eneo lako lilikuzungunga unalifanyia usafi unafungua ata saa 3 wakipita hawana shida na wewe.
jirani yake kamwambia et faini hua ni laki mbili mhNishakutana nayo kwa hali yakujisahau tu, kiukwel ni utaratbu uliwekwa kitaifa kila jumamosi ya mwsho wa mwezi ni usafi Tanzania nzima, ofis zinafunguliwa saa 4 ukikutwa upo wazi na hujafanya usafi kama kulkua na eneo la usafi wa kjumuishi faini ilkua ni buku 5, ila kama kulikua hamna sehemu ya usafi jumuishi una make sure eneo lako lilikuzungunga unalifanyia usafi unafungua ata saa 3 wakipita hawana shida na wewe.
nashukuru nitajitahidi niipate by tomorrowKwa level ya Halmashauri swala la kutofanya usafi siyo kosa la kubuni ni kosa kweli ๐
Mtendaji ni mwakilishi wa mkurugenzi wa halmashauri kwa level ya kata so ana-wield similar power. Dogo akileta drama anaweza wekwa ndani kwa amri ya mtendaji ๐
Mleta uzi, tafuta namba ya mtendaji muelezee. Omba radhi, msikie atasema nini. Faini ya usafi ni pesa ndogo kwa mtendaji hua wana mirija mingi hao
Samahan mkuu ina maana gani?Hapo lazima watamtoa upepo tu
Dogo alifungua sa 3 na nusu bossNishakutana nayo kwa hali yakujisahau tu, kiukwel ni utaratbu uliwekwa kitaifa kila jumamosi ya mwsho wa mwezi ni usafi Tanzania nzima, ofis zinafunguliwa saa 4 ukikutwa upo wazi na hujafanya usafi kama kulkua na eneo la usafi wa kjumuishi faini ilkua ni buku 5, ila kama kulikua hamna sehemu ya usafi jumuishi una make sure eneo lako lilikuzungunga unalifanyia usafi unafungua ata saa 3 wakipita hawana shida na wewe.
huu ujinga aliuleta makonda.hakuna kesi hapoKwa level ya Halmashauri swala la kutofanya usafi siyo kosa la kubuni ni kosa kweli ๐
Mtendaji ni mwakilishi wa mkurugenzi wa halmashauri kwa level ya kata so ana-wield similar power. Dogo akileta drama anaweza wekwa ndani kwa amri ya mtendaji ๐
Mleta uzi, tafuta namba ya mtendaji muelezee. Omba radhi, msikie atasema nini. Faini ya usafi ni pesa ndogo kwa mtendaji hua wana mirija mingi hao
Hakuna taratibu ambayo ina faini kubwa hvyo kaka, hapo hujavunja sheria ya nchi ila ni taratibu kwa za nchu, kwa dsm faini ni buku 5 kama kuna usafi jumuishi sijui utaratbu wenu huko nisije nikakuponza ila hapo ni maongezi tu kijana aende na shuka la masai mkononi ila asiwe na haraka kumfunika mtendaji asikilize sera kwanza๐ atafute amani kwanza kuliko battle.kuna jirani yake kamtisha et faini ni laki mbili
jirani yake kamwambia et faini hua ni laki mbili mh
hapo lazima atatoa ya majiSamahan mkuu ina maana gani?