nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
- #61
Kaka unatia misumari nadhani hayajakukutaIgnorance of law is not an excuse
Aandae elfu hamsini ya fine.
Hizo ni bylaw kila sehemu zipo
Zingatia 50,000
Kaka unatia misumari nadhani hayajakukutaIgnorance of law is not an excuse
Aandae elfu hamsini ya fine.
Hizo ni bylaw kila sehemu zipo
Zingatia 50,000
we hili jukwaa la baba yako?Sasa unataka usaidiwe nini huku? Kila kt ni uzi wa kuleta humu? Huku utapata msaada gani, mkatii sheria na taratibu. Mbn mmekuwa wapumbavu hivyo?
😅😅😅Kamtendaji tu kanamtikisa dogo wakati huku huwa tunawatia makofi
sina ushindani mkuu biashara ya salon ni kawaida Sana no competition sijui lakini maana tuna miez 4 tu toka tuchukue frem japo salon ni ya muda mrefu
MI nakwambia ukweli ndugu yangu,achana na hao wanaokudanganyaKaka unatia misumari nadhani hayajakukuta
mwenye frem hua anakodisha tu salon iko full ndani,Mbona sijakuelewa hapo...mna miezi minne hapo na unasema ni ya muda mrefu!? Anyway...dogo aende mwenyewe tu hapo kwa upole ila akiwa anajiamini... Hii wengi wanatumia vibaya wanadhani kujiamini ndio ku panic na kutoa sauti kubwa... Asikilize ajibi inapobidi
sina 50k mkuuMI nakwambia ukweli ndugu yangu,achana na hao wanaokudanganya
Wanapenda hela hatari, nilimtolea uvivu chalii m1, hana hamu.Watendaji wa mtaa nao wapo km polisi kwenda bure kutoka na pesa..!!😏
huku dogo ndo anachoenda kubugudhiwaWanapenda hela hatari, nilimtolea uvivu chalii m1, hana hamu.
Eti no ya nida, nilipe buku 2 ya usumbufu kunitafutia ktk docs zake. Lol
😹😹😹 Wana njaa hao, wameambiwa kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake..!!Wanapenda hela hatari, nilimtolea uvivu chalii m1, hana hamu.
Eti no ya nida, nilipe buku 2 ya usumbufu kunitafutia ktk docs zake. Lol
kwani hawalipwi?😹😹😹 Wana njaa hao, wameambiwa kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake..!!
Na hivi wako vijana, wanakua wezi wa kimacho macho haswaa.😹😹😹 Wana njaa hao, wameambiwa kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake..!!
Wanalipwa ila hizo pesa zenu ndo posho zao.!!kwani hawalipwi?
Andaa buku ten nawee, hakuna cha bure ujue.huku dogo ndo anachoenda kubugudhiwa
Hahaha hyo ya kusema hujui kusoma kuna jamaa aliniadithia alipita sehemu ya jeshi kigoma huko imeandikwa marufuku kukatiza ila ni shortcut inatamansha kupita akadakwa na msoja akamuuliza vipi hujaona kibao akasema sijui kusoma msoja akamwambia aanh kama hujui kusoma pole sana ntakusamehe kwa leo ila kuna vyombo hapa nisaidie mdogo wangu..jamaa anasema aliosha vyombo saa 3 asubuhi hadi 12 jion alkua anaosha anamaliza wanapga story anambiwa osha tena anamaliza story kdgo mchana msosi ukaja wakala akambiwa osha tena hvyo hvyo mpka jioni😂😂😂mwshon ana mruhusu alafu anamwambia ungekutana na hawa vijana vijana wangekutesa sana jamaa yangu😂😂😂Utaratibu wa usafi wa mwisho wa mwezi upo kwa mujibu wa sheria ndogo za utunzaji mazingira almost halmashauri zote nchini wanacho hicho kitu
Kutokujua sheria sio kinga dhidi ya kosa ulilotenda, hivyo kusema mi mgeni, sijui kusoma, sijaambiwa. Haikusaidii chochote.
Kikubwa aende akasikilize, aongee nao kwa heshima hata akimkuta mtendaji ni bwa mdogo au sista du, heshima kwanza, yanazungumzika.
Graduates wa mipango hao njaa tupu….!! 😹😹😹Na hivi wako vijana, wanakua wezi wa kimacho macho haswaa.
😂😂😂😂😂
Hivi wee ni raia wa Bongo au mkimbizi? Mbna unauliza swali la kiwakii kabisaa? Lolkwani hawalipwi?
Tena itakua wa Diploma, jamani wanq njaa hatari.Graduates wa mipango hao njaa tupu….!! 😹😹😹
Anaichungulia pesa kwenye mfuko wa shati, hao wapo km trafic lazima utafutiwe kosa hata km halionekani..!! 😹😹Andaa buku ten nawee, hakuna cha bure ujue.
Faini ni lazima huko.