Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

Anaichungulia pesa kwenye mfuko wa shati, hao wapo km trafic lazima utafutiwe kosa hata km halionekani..!! 😹😹
Tena huko huyo dogo akiwa Zoba, atapigwa parefu mnoo. Dooh
 
Tena huko huyo dogo akiwa Zoba, atapigwa parefu mnoo. Dooh
Watamuomba mpk barua ya utambulisho wa mtaa..!! Ataambiwa kavamia mtaa bila kumuona mtendaji..!!
Ana kesi mbili tayari..😹😹😹
 
Hao hao yani hawacheki na yoyote..!😹😹
Yule mkaka hakua hata na aibu, eti toa elf 2 ya usumbufu, maana kutafuta hiyo no ako ktk docs kazi, kuna makablasha mengi.

Nilimuwakia hana hamu kabisaa, sijui alinionajee. Khaaah
 
Watamuomba mpk barua ya utambulisho wa mtaa..!! Ataambiwa kavamia mtaa bila kumuona mtendaji..!!
Ana kesi mbili tayari..😹😹😹
Umejuajee? Yaan watampurura huyu, woiiiih
😂😂😂😂😂
 
Yule mkaka hakua hata na aibu, eti toa elf 2 ya usumbufu, maana kutafuta hiyo no ako ktk docs kazi, kuna makablasha mengi.

Nilimuwakia hana hamu kabisaa, sijui alinionajee. Khaaah
😹😹😹 Ungemwambia km ana buku 2 akupe buku km ni rahisi..!!
 
Naamini atakuwa anapimwa utii wake tu yeye aende amna kifo hapo wala jinai. Wachawi na viongozi wanapshana kidogo tu ila wote wanapenda sifa kutukuzwa akamtukuze tu yaishe😂😂😂
Hapaswi kwenda hadi waje kumkamata na akifika anakataa kosa
 
Back
Top Bottom