nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
- Thread starter
- #41
Mkuu umesema mda gani?Acha mapepe. Ndiyo maana nimekwambia ingia front.
Mkuu umesema mda gani?Acha mapepe. Ndiyo maana nimekwambia ingia front.
Sawa mkuu dah dogo kakutwa sa 3 na nusu yani nusu saa tu beforeUtaratibu wa usafi wa mwisho wa mwezi upo kwa mujibu wa sheria ndogo za utunzaji mazingira almost halmashauri zote nchini wanacho hicho kitu
Kutokujua sheria sio kinga dhidi ya kosa ulilotenda, hivyo kusema mi mgeni, sijui kusoma, sijaambiwa. Haikusaidii chochote.
Kikubwa aende akasikilize, aongee nao kwa heshima hata akimkuta mtendaji ni bwa mdogo au sista du, heshima kwanza, yanazungumzika.
dah acha tu mkuu afu nimetoka kulipa kod ya frem sio MudaWatendaji wa mtaa nao wapo km polisi kwenda bure kutoka na pesa..!!😏
nipo onlineKwa level ya Halmashauri swala la kutofanya usafi siyo kosa la kubuni ni kosa kweli 😅
Mtendaji ni mwakilishi wa mkurugenzi wa halmashauri kwa level ya kata so ana-wield similar power. Dogo akileta drama anaweza wekwa ndani kwa amri ya mtendaji 😅
Mleta uzi, tafuta namba ya mtendaji muelezee. Omba radhi, msikie atasema nini. Faini ya usafi ni pesa ndogo kwa mtendaji hua wana mirija mingi hao
Dogo ile asubui kamwacha tu anaondoka ilibidi amalizane nae ile ile asubuiIgnorantia juris non excusat!!!Kama ni taratibu za hapo awe mpole aende na asiende kwa ubabe kama ni taratibu kwel na akajiridhisha ni taratibu zilizopo akifika aombe kwakua yy n mgeni hata kama ni faini bas apunguziwe
Hii ni sawa na kufungua swaumu nusu saa kabla ya adhana ya magharibi, unahesabika hujafunga siku nzima.Sawa mkuu dah dogo kakutwa sa 3 na nusu yani nusu saa tu before
Mtafute mtoe hata buku tano, km mwanamke mtongoze ili asiwe anakusumbua na ofisi yako..!! 😹😹dah acha tu mkuu afu nimetoka kulipa kod ya frem sio Muda
Sasa unataka usaidiwe nini huku? Kila kt ni uzi wa kuleta humu? Huku utapata msaada gani, mkatii sheria na taratibu. Mbn mmekuwa wapumbavu hivyo?Jumamosi ya mwisho wa mwezi ni ya usafi huku adi sa 4 asubui , Leo asubui dogo kafungua goli (salon) sa 3 na nusu , gafla kaja mtendaji kamuuliza jina na kuchukua namba yake ya simu, kisha kamwambia Leo hajafanya usafi aripoti ofisini juma 3.
Dogo kabaki ameshangaa maana hata ofisi ya serikali ya mtaa hajui, anamiez 4 toka aje huku iringa, ndipo kanipigia simu asubui nilikua kazini,
Nimempanga kua aende juma akasema yeye ni mgeni hajui utaratibu huu.
Mimi nilisahau kabisa maana miaka 3 nilikua kijijini na kule hamna huu utaratibu, hata hapa nashangaa Leo ndo wamekuja siku zote anafungua muda ule ule huu mwez wa 4 sasa
Mimi nitakua kazini hiyo juma 3 ningeenda mimi, nasikia jirani yake kamwambia asiemde adi apigiwe simu, ila mi naona bora aende tu akasikie anachoitiwa..
Aliewahi kutana na changamoto hii au mwenyewe uelewa hapa ili nisije pigwa faini. Asanteni
Inategemewa na maelezo yako.bila kulipa 50?
kaka penye udhia penyeza rupiamambo ya kifaru sio atahisiwa anatoa Rushwa boss samahan lakini ni maoni tu
sina ushindani mkuu biashara ya salon ni kawaida Sana no competition sijui lakini maana tuna miez 4 tu toka tuchukue frem japo salon ni ya muda mrefuMajirani zako eneo la biashara wanasemaje kwani!? Una mshindani wa kibiashara mwenye nguvu na sauti karibu Yako? Kama ndio kuna kazi...kama hakuna bhas dogo aende tu kwa utulivu...mtendaji atakuwa anampima tu hulka yake maana hata yeye atakuwa anajua ni mgeni
Hapana kaitwa kwa mdomo tu bossAliitwa kwa maandishi yani barua? Bila ivo asiende. Kwenye barua unaelezwa unacho itiwa
kaambiwa tu kwa mdomo kua hajafanya usafi ko anaitwa juma 3 ofisiniAliitwa kwa maandishi yani barua? Bila ivo asiende. Kwenye barua unaelezwa unacho itiwa
Ignorance of law is not an excuseMkuu kwamba akienda kusema yeye ni mgeni atasumbuliwa?