Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

Watendaji wa mtaa nao wapo km polisi kwenda bure kutoka na pesa..!!😏
 
Sawa mkuu dah dogo kakutwa sa 3 na nusu yani nusu saa tu before
 
Ignorantia juris non excusat!!!Kama ni taratibu za hapo awe mpole aende na asiende kwa ubabe kama ni taratibu kwel na akajiridhisha ni taratibu zilizopo akifika aombe kwakua yy n mgeni hata kama ni faini bas apunguziwe
 
Majirani zako eneo la biashara wanasemaje kwani!? Una mshindani wa kibiashara mwenye nguvu na sauti karibu Yako? Kama ndio kuna kazi...kama hakuna bhas dogo aende tu kwa utulivu...mtendaji atakuwa anampima tu hulka yake maana hata yeye atakuwa anajua ni mgeni
 
nipo online
 
Ignorantia juris non excusat!!!Kama ni taratibu za hapo awe mpole aende na asiende kwa ubabe kama ni taratibu kwel na akajiridhisha ni taratibu zilizopo akifika aombe kwakua yy n mgeni hata kama ni faini bas apunguziwe
Dogo ile asubui kamwacha tu anaondoka ilibidi amalizane nae ile ile asubui
 
Mi ningeenda kwa ngumi na mateke maana siku tayari kuchezewa akili.
 
Aliitwa kwa maandishi yani barua? Bila ivo asiende. Kwenye barua unaelezwa unacho itiwa
 
Sasa unataka usaidiwe nini huku? Kila kt ni uzi wa kuleta humu? Huku utapata msaada gani, mkatii sheria na taratibu. Mbn mmekuwa wapumbavu hivyo?
 
sina ushindani mkuu biashara ya salon ni kawaida Sana no competition sijui lakini maana tuna miez 4 tu toka tuchukue frem japo salon ni ya muda mrefu
 
Vitu vingine wanaume tunapaswa kujiongeza.

Piga simu kwa mtendaji,muelezee,mtumie teni ,dogo akienda anaenda kuitika wito tu ili ajifunze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…