Dogo wa kazi kaambiwa aripoti ofisi ya serikali ya mtaa juma tatu asubuhi

Kamtendaji tu kanamtikisa dogo wakati huku huwa tunawatia makofi mpaka wanatukimbia
 
sina ushindani mkuu biashara ya salon ni kawaida Sana no competition sijui lakini maana tuna miez 4 tu toka tuchukue frem japo salon ni ya muda mrefu

Mbona sijakuelewa hapo...mna miezi minne hapo na unasema ni ya muda mrefu!? Anyway...dogo aende mwenyewe tu hapo kwa upole ila akiwa anajiamini... Hii wengi wanatumia vibaya wanadhani kujiamini ndio ku panic na kutoa sauti kubwa... Asikilize ajibi inapobidi
 
mwenye frem hua anakodisha tu salon iko full ndani,
 
Watendaji wa mtaa nao wapo km polisi kwenda bure kutoka na pesa..!!😏
Wanapenda hela hatari, nilimtolea uvivu chalii m1, hana hamu.
Eti no ya nida, nilipe buku 2 ya usumbufu kunitafutia ktk docs zake. Lol
 
Wanapenda hela hatari, nilimtolea uvivu chalii m1, hana hamu.
Eti no ya nida, nilipe buku 2 ya usumbufu kunitafutia ktk docs zake. Lol
huku dogo ndo anachoenda kubugudhiwa
 
Wanapenda hela hatari, nilimtolea uvivu chalii m1, hana hamu.
Eti no ya nida, nilipe buku 2 ya usumbufu kunitafutia ktk docs zake. Lol
😹😹😹 Wana njaa hao, wameambiwa kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake..!!
 
😹😹😹 Wana njaa hao, wameambiwa kila mtu ale kwa urefu wa Kamba yake..!!
Na hivi wako vijana, wanakua wezi wa kimacho macho haswaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha hyo ya kusema hujui kusoma kuna jamaa aliniadithia alipita sehemu ya jeshi kigoma huko imeandikwa marufuku kukatiza ila ni shortcut inatamansha kupita akadakwa na msoja akamuuliza vipi hujaona kibao akasema sijui kusoma msoja akamwambia aanh kama hujui kusoma pole sana ntakusamehe kwa leo ila kuna vyombo hapa nisaidie mdogo wangu..jamaa anasema aliosha vyombo saa 3 asubuhi hadi 12 jion alkua anaosha anamaliza wanapga story anambiwa osha tena anamaliza story kdgo mchana msosi ukaja wakala akambiwa osha tena hvyo hvyo mpka jioniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mwshon ana mruhusu alafu anamwambia ungekutana na hawa vijana vijana wangekutesa sana jamaa yanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na hivi wako vijana, wanakua wezi wa kimacho macho haswaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Graduates wa mipango hao njaa tupu….!! 😹😹😹
 
Graduates wa mipango hao njaa tupu….!! 😹😹😹
Tena itakua wa Diploma, jamani wanq njaa hatari.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Andaa buku ten nawee, hakuna cha bure ujue.
Faini ni lazima huko.
Anaichungulia pesa kwenye mfuko wa shati, hao wapo km trafic lazima utafutiwe kosa hata km halionekani..!! 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…