Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

That's all? Nah, toa maelezo ya kueleweka ili jukwaa likuelewe! Jibu halijitoshelez
😂😂😂Waliungana wakawa "UKAWA" still mission ilibuma ..sasa CDM pekee ni wachache kwa nchi zetu bila ya mapinduzi hawatoweza kushika Dolla Maisha.
 
Swali langu nilimuuliza hata mleta hoja eventually akatoweka bila kujibu kwa usahihi!! Hapa umeleta hoja ya ukawa ambayo haina uhusiano na CDM individual wakati hoja inamzungumzia CDM individual!
 
Afu kuna watu mpo nyuma ya mambo sana,siasa mnazifatilia juu juu.Hivi Kassim Majaliwa unajua amefikaje fikaje hapo kuwa Waziri Mkuu? maajabu unamchukia Kikwete unampenda Majaliwa sawa na kuruka mkojo na kukanyaga mavi.Majaliwa hapo alipo ni kwa sababu ya Kikwete he was no body-i mean hakutengeneza jina kutokana na utendaji wake-bali alibebwa na Kikwete.Hivyo, basi hata ukimpa Leo Majaliwa urais ni sawa na Kikwete kuendelea kuongoza.
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
Umeharibu ulivyomtaja tu Magufuli. Magufuli tena? Hapana, kama unataka hii inchi igawanyike katika vipande vipande tumpate Magufuli mwingine. Yule hakuna lolote, hakuna mzalendo aliweza kuwadanganya watu kwa muda ule mfupi. Mbaguzi asiyeelezeka. Katili hajali kuua binadamu mwenzake kwa maslahi yake. Wapinzani watoto wao wa uraia wa Marekani wale wameshajiandaa kuihama hii nchi. Wapi Tundu Lissu, Godbless Lema, Mbowe mwenyewe watoto wamarekani unategemea wapewe nchi?
 
Kwanza kabisa.. hayo uliyoshaur CCM uchungu na nchi, uzalendo 🤣🤣🤣 kamwe haiwezekan!! Pili... Ungeelezea kwa kina kwann CDM hawastahili kupewa dhamana ya kuongoza hii nchi.. elezea kwanini
Hawana uwezo. Hivi kweli DJ Mbowe hata ukimwangalia ndiyo awe kiongozi mkubwa. Angalia alichikifanyia CHADEMA, kipo ICU. Nani CHADEMA ana hata calibre ya kuwa kiongozi mkubwa? Nani? Hii nchi siyo ya wahuni bwashee.
 
Masikini hapa umetulia kweli kweli kutoa hoja 🤣🤣. Well mpaka sasa hakuna alietoa hoja ya msingi kujibu swali langu. Ngoja labda atatokea wa kujibu kwa usahihi bila kuangalia ushabiki. Chama kipo ICU lkn mpaka Rais anataka maridhiano nacho, anakifungia kufanya mikutano still chama kipo ICU 😂😂😂 ndio maan nimesema bado hakuna aliekuja na hoja ya msingi!! Jipange upya
 
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu

Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.

Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.

Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.

CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.

Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.

Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!

Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!

Yangu ni hayo!
Akili zako umeweka matrakoni?
 
Chadema kitaleta haki na usawa wa raia,, tunaona jinsi watu wa mapenzi ya iinsia moja wanavgobaguliwA,, chadema itaondoa huo ubaguzi😂
 
Wewe MTU mmoja usiposaport chadema wengine watasaport! By the way Kuna Chama kama Chauma, Sau, jahazi asilia, nccr mageuzi, tadea, ACt nk kwanini usijiunge navyo ukaleta Mabadiliko? Tanzania ni nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi na kila mtu ana haki ya kujiunga na Chama chochote akivitiwa na sera zake!
Kuliko kupoteza muda mwingi kuwananga watu ambao hata kauli y'ako moja hata kujiondoa hakuna impact yoyote jiunge navyo! Pathetic zao la community schools!
Tatizo kubwa la CHADEMA, hakuna demokrasia pamoaja na kwamba kinaitwa chama cha demokrasia, mwenyekiti ana miaka zaidi ya 20, mazuzu bado hawaelewi tu. Pili ukabila, wachaga ni wakabila sana na hawawezi kujicontrol katika hilo, angalia vingozi wengi pale CHADEMA hata waliokuwa wanateuliwa ubunge viti maalum wengi wachaga. Taasis yoyote nchi hii kiongozi wa juu akiwa mchaga haifiki kokote lazima ife maana watanzania wakishagundua hukimbia. Wapi NCCR-MAGEUZI, TLP vinaishia kuwa vyama au taasisi za ukoo kama PRECISION AIR au IPP MEDIA. PRECISION AIR nenda kacheki wafanyakazi hasa wa juu ni wachaga kisa mmliki mchaga. Wachaga hawanaonagi hata aibu katika hilo. Watanzania kilichobaki na sisi tuwabague wapendeleane katika taasisi zao lakini siyo kuwapa nchi hawafai wabaguzi mno.
 
Naandika hapa na anayepinga apinge siwezi kupigia kura chadema mpaka nakufa ...Mtafanya makosa yote siwezi kupigia kura chadema mpaka kauli ya mwisho hata kiwe chama cha dola ya kiislamu wakiungana na chadema tu basi kwangu ni sumu.
[emoji3]
 
Mimi kura yangu this time naipa CHADEMA

Huyo aliyeandika hapo juu ni muongo, mzandiki na mpiga ramli wa siasa majtaka

Kama CHADEMA ni threat kwa nchi. Ni kwa nini Msajili ama hiyo dola ambayo imemtuma hapa wasikifute chama hiko?

Mimi ninavyofahamu ni kwamba, CCM ndiyo wanaongoza kiharamu baada ya kuchafua uchaguzi mkuu 2020
Hv kweli mwaka 2020 mlidhani kuwa mtapewa nchi au kushinda chaguzi ule mbel ya dr jonh pombe maguli?

Mlidhani kuwa lissu anaweza kumshinda magufuli kweli kbsa kbsa ,kazi za magufuli zilitosha kbsa kuuza sera zake ndio maan haja zingatia sana uchaguzi ule alikjuwa kbsa kuwa watnzania wamemuelewa kazi zake nyingi nzuri

Kura za lissu ni za huruma tu za risasi ila siyo ya kumfanya amshinde magufulivation
 
Tatizo kubwa la CHADEMA, hakuna demokrasia pamoaja na kwamba kinaitwa chama cha demokrasia, mwenyekiti ana miaka zaidi ya 20, mazuzu bado hawaelewi tu. Pili ukabila, wachaga ni wakabila sana na hawawezi kujicontrol katika hilo, angalia vingozi wengi pale CHADEMA hata waliokuwa wanateuliwa ubunge viti maalum wengi wachaga. Taasis yoyote nchi hii kiongozi wa juu akiwa mchaga haifiki kokote lazima ife maana watanzania wakishagundua hukimbia. Wapi NCCR-MAGEUZI, TLP vinaishia kuwa vyama au taasisi za ukoo kama PRECISION AIR au IPP MEDIA. PRECISION AIR nenda kacheki wafanyakazi hasa wa juu ni wachaga kisa mmliki mchaga. Wachaga hawanaonagi hata aibu katika hilo. Watanzania kilichobaki na sisi tuwabague wapendeleane katika taasisi zao lakini siyo kuwapa nchi hawafai wabaguzi mno.
Una hasira na wachaga sio Bure imebidi nicheke kwa sauti! Chuki humuumiza mwenye nayo! Yani hii ndio Hoja haswaa!
Kwamba CCM Kuna demokrasia mwenyekiti anashimdanishwa na wengine Kisha anashinda?
Lisu ni mchagga WA wapi?
Msigwa ni mchagga WA marangu au kiraracha?
Ummy anatokea usseri au Tarakea?
Sugu anatokea mbokomu au njia panda ya himo? Hivi mnatona mazuzu au mbubumbu?
John pambalu na Heche ni WA Moshi Mjini eeh?
Alipokua Patrobas katambi nae anatokea Masama au Machame? Hujioni mpumbavu?
Tafuta Hoja nyingine otherwise utakufa kwa pressure Bure!
Huyu Mnyika katibu mkuu kutokea sengerema nae anatokea Bomambuzi au Mwika?
Hao ni baadhi ya viongozi wa juu wa chadema!

Mkutano mkuu wa Ccm juzi ulikua wa kuchagua chairpesona au kupitisha majina ya mwenyekiti na makamu wa bara na visiwani? Lakini kinajinasibu kuwa ndani yake kina demokrasia!

Fuatilia speech ya mzee makamba analazimisha wajumbe waazimie kuwa 2025 hakuna MTU kujitokeza kujipima kwenye urais na anasisitiza kanuni na Katiba isifuatwe mana watungaji ni wao na hakuna wa kuwahoji! Hivi wewé ni box kichwani eti!

Demokrasia means wengi wape!
Nyerere aliamini katika demokrasia ya kugatua madaraka na kuzipa nguvu serikali za mitaa ili watu wapange maendeleo yao Kule waliko (madaraka mikoani) ila alidumu kama mwenyekiti wa chama na serikali kwa 27 years na mwenyekiti wa chama Miaka 32! Hiyo nayo tullita demokrasia! Unapodefine democracy angalia angle uliyosimama mjinga MMOJA wewé (ashakum sio matusi)
 
Tatizo kubwa la CHADEMA, hakuna demokrasia pamoaja na kwamba kinaitwa chama cha demokrasia, mwenyekiti ana miaka zaidi ya 20, mazuzu bado hawaelewi tu. Pili ukabila, wachaga ni wakabila sana na hawawezi kujicontrol katika hilo, angalia vingozi wengi pale CHADEMA hata waliokuwa wanateuliwa ubunge viti maalum wengi wachaga. Taasis yoyote nchi hii kiongozi wa juu akiwa mchaga haifiki kokote lazima ife maana watanzania wakishagundua hukimbia. Wapi NCCR-MAGEUZI, TLP vinaishia kuwa vyama au taasisi za ukoo kama PRECISION AIR au IPP MEDIA. PRECISION AIR nenda kacheki wafanyakazi hasa wa juu ni wachaga kisa mmliki mchaga. Wachaga hawanaonagi hata aibu katika hilo. Watanzania kilichobaki na sisi tuwabague wapendeleane katika taasisi zao lakini siyo kuwapa nchi hawafai wabaguzi mno.
Una hasira na wachaga sio Bure imebidi nicheke kwa sauti! Chuki humuumiza mwenye nayo! Yani hii ndio Hoja haswaa!
Kwamba CCM Kuna demokrasia mwenyekiti anashimdanishwa na wengine Kisha anashinda?
Lisu ni mchagga WA wapi?
Msigwa ni mchagga WA marangu au kiraracha?
Ummy anatokea usseri au Tarakea?
Sugu anatokea mbokomu au njia panda ya himo? Hivi mnatona mazuzu au mbubumbu?
John pambalu na Heche ni WA Moshi Mjini eeh?
Alipokua Patrobas katambi nae anatokea Masama au Machame? Hujioni mpumbavu?
Tafuta Hoja nyingine otherwise utakufa kwa pressure Bure!
Huyu Mnyika katibu mkuu kutokea sengerema nae anatokea Bomambuzi au Mwika?
Hao ni baadhi ya viongozi wa juu wa chadema!

Mkutano mkuu wa Ccm juzi ulikua wa kuchagua chairpesona au kupitisha majina ya mwenyekiti na makamu wa bara na visiwani? Lakini kinajinasibu kuwa ndani yake kina demokrasia!

Fuatilia speech ya mzee makamba analazimisha wajumbe waazimie kuwa 2025 hakuna MTU kujitokeza kujipima kwenye urais na anasisitiza kanuni na Katiba isifuatwe mana watungaji ni wao na hakuna wa kuwahoji! Hivi wewé ni box kichwani eti

Demokrasia means wengi wape!
Nyerere aliamini katika demokrasia ya kugatua madaraka na kuzipa nguvu serikali za mitaa ili watu wapange maendeleo yao Kule waliko (madaraka mikoani) ila alidumu kama mwenyekiti wa chama na serikali kwa 27 years na mwenyekiti wa chama Miaka 32! Hiyo nayo tullita demokrasia! Unapodefine democracy angalia angle uliyosimama mjinga MMOJA wewé (ashakum sio matusi)
 
Naandika hapa na anayepinga apinge siwezi kupigia kura chadema mpaka nakufa ...Mtafanya makosa yote siwezi kupigia kura chadema mpaka kauli ya mwisho hata kiwe chama cha dola ya kiislamu wakiungana na chadema tu basi kwangu ni sumu.
Mbona sio jambo la ajabu ni kawaida MAMBUZI kutowachagua binadamu wala kuchanganyika nao kwa sababu wanajua watachinjwa

Na ndio maana MBUZI siku zote wanaburuzwa tu Kwa sababu siku zote wao n kitoweo tu
 
Swali langu nilimuuliza hata mleta hoja eventually akatoweka bila kujibu kwa usahihi!! Hapa umeleta hoja ya ukawa ambayo haina uhusiano na CDM individual wakati hoja inamzungumzia CDM individual!
😂😂😂Tambua bado ni minority ,bado wachanga sana kweny game .

Wajijenge kwanza sio kupewa nchi kirahisi kama unavyodhani.
 
Back
Top Bottom