Mwanakwetuuu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2022
- 1,011
- 2,283
Ukiwa CCM unakuwa shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu, uzalendo wao ni zero, Wabinafsi, na kila kukicha wanazidi kuweka wazi sura zao asili, hata iweje Hawa watu wasipewe Nchi, wawe wanapewa ubunge tu
Naam kwakua, Chama Cha Mapinduzi ndicho kilichojishikanisha na Dola Moja Kwa Moja.
Basi, Dola ni vema ikahakikisha inatawala kama Ulivyo Utawala wa China.
Yaani tupate CCM ambayo ina watu wenye Uchungu, Uzalendo, Watu watakaoipenda Nchi Yao, nakulinda mali Asili za Nchi hii pamoja na utajiri wake. Watu ambao watatanguliza Maisha Yao mbele Kwa ajili ya kujenga Nchi hii.
CCM ya Akina Kinana, Makamba, JK, Yusuph, Nape, hiii haitokaa kutuvusha.
Tunahitaji CCM yenye U-Magulification, Mkono wa Chuma wenye lengo la kuifikisha mbali Nchi hiii kama ilivyo UCHINA NA UTAWALA WAKE.
Kwa Sasa CCM ya Kinana ni sawa na CHADEMA TU, wote ni viburi, jeuri, ubinafsi!
Tunawataka akina Bashiru, Mpina, Akina Gwajima, Akina Kassim, tunawataka wawepo Akina Marehemu Mfugale wengi, Deo Filikunjombe wengiii!
Yangu ni hayo!
TANU walipewa nchi wakiwa wamekomaa?😂😂😂Tambua bado ni minority ,bado wachanga sana kweny game .
Wajijenge kwanza sio kupewa nchi kirahisi kama unavyodhani.
Palikuwa na chama gani kingine?TANU walipewa nchi wakiwa wamekomaa?
Duh basi sawa kwa hii staili yako ya Jino kwa jino, bampa to bampa! We jamaa nimegundua ni mtu wa visasi! Ndo maana huwa sikufungi draft goli 20 maana nikikufunga huwa unataka tucheze hadi saa 8 usiku hadi urudishe goli zote!!..familia ya Ssh nao wako Uarabuni.
Akili za kuvuka barabara na umaarufu wa debate secondary zinakufanya ujione smart! But you are not smart!I'm smart to know that CCM has many problems but I'm also smart enough to know CHADEMA only is not the solution to those problems
Duh basi sawa kwa hii staili yako ya Jino kwa jino, bampa to bampa! We jamaa nimegundua ni mtu wa visasi! Ndo maana huwa sikufungi draft goli 20 maana nikikufunga huwa unataka tucheze hadi saa 8 usiku hadi urudishe goli zote!!
Tangu lini Bimkubwa Samia akaweka familia arabuni , kwa wajomba zake ni sawa ila watoto kama wale wa Tindo Lusse kwa hisani ya watu wa Marekani kwa Bimkubwa mi sijasikia!!
Miaka yote ya nyuma kura yangu ilienda kwa chama changu CCMHv kweli mwaka 2020 mlidhani kuwa mtapewa nchi au kushinda chaguzi ule mbel ya dr jonh pombe maguli?
Mlidhani kuwa lissu anaweza kumshinda magufuli kweli kbsa kbsa ,kazi za magufuli zilitosha kbsa kuuza sera zake ndio maan haja zingatia sana uchaguzi ule alikjuwa kbsa kuwa watnzania wamemuelewa kazi zake nyingi nzuri
Kura za lissu ni za huruma tu za risasi ila siyo ya kumfanya amshinde magufulivation
Umeongea point kubwa sana lakini tatizo hata katiba ikiwa nzuri itaheshimiwa!,tunaona jinsi hii mbovu yenyewe inavyovunjwa na wakubwa na hakuna wa kuwaambia kituLabda ungesema tusiwape nchi watanzania, tutafute vyama vya nje ndo vije vishike nchi hapo ningekuelewa.
Maana watu ni wale wale, leo wako CHADEMA kesho wako CCM n.k.
Tatizo letu siyo watu, siyo CHADEMA, Siyo CCM, Siyo Kinana wala Si Bashiru ila ni KATIBA na sheria nyingine mama. Kwa hiyo kama CCM kwa miaka 60 imeshindwa kutupa KATIBA BORA ni heri tuwape CHADEMA maana watatuletea KATIBA BORA au nzuri kiasi cha hii ya sasa.
Nchi inatakiwa iende tu bila kujali watu. Tunakosea sana kuangalia personalities...eti mtu kama Magufulu au kama Nani. Hatakiwa kuwa mtu bali katiba, sheria na kanuni za kuongoza nchi. Ili yeyote yule atakaye ingia mambo yaende.