Dola isije kuthubutu kuwapa wapinzani (CHADEMA) nchi

Hivi hawa washawahi shika nchi wakaonesha uzalendo wao? Au tunabwabwaja tu, wasimege tunachomega?
 
..familia ya Ssh nao wako Uarabuni.
Duh basi sawa kwa hii staili yako ya Jino kwa jino, bampa to bampa! We jamaa nimegundua ni mtu wa visasi! Ndo maana huwa sikufungi draft goli 20 maana nikikufunga huwa unataka tucheze hadi saa 8 usiku hadi urudishe goli zote!!

Tangu lini Bimkubwa Samia akaweka familia arabuni , kwa wajomba zake ni sawa ila watoto kama wale wa Tindo Lusse kwa hisani ya watu wa Marekani kwa Bimkubwa mi sijasikia!!
 
I'm smart to know that CCM has many problems but I'm also smart enough to know CHADEMA only is not the solution to those problems
Akili za kuvuka barabara na umaarufu wa debate secondary zinakufanya ujione smart! But you are not smart!
Ili kujua UKo smart waulize wanaokutazama na wanaokufahamu au angalia reaction ya GTS katika posts zako! Hakika wewe ni mbumbu ! Being smart should be defined by the social sorroundinh sio kujikweza mjinga mmoja wewe
 

..miaka ya 90 wakati wa awamu ya Nkapa Lissu alikuwa akifanya kazi kwenye shirika linaitwa World Resources Institute iko Marekani.

..Sasa wakati akiishi huko ughaibuni ndio wakabahatika kupata watoto. Wakati Lissu alipokuwa Tanzania wanae walikuwepo hapa wakisoma shule za hapa nchini.

..Sheria za Marekani zinaelekeza kwamba mtoto akizaliwa ktk ardhi yao ana haki ya kuwa raia wa nchi hiyo.

..Watoto wa Lissu waliondoka Tanzania baada ya Baba yao kushambuliwa.

..Sasa ktk mazingira hayo kuna tatizo gani? Watanzania mmoja mmoja tunaathirika vipi na watoto wa Lissu kuwa raia wa Marekani?

NB:

..labda nikuulize, hivi Mwalimu angedunguliwa marisasi kama Tundu Lissu unadhani angeendelea na harakati za uhuru? Je, asingehamishia familia yake mahali salama?
 
Miaka yote ya nyuma kura yangu ilienda kwa chama changu CCM

Lakini mimi na wanaCCM wenzangu kwenye kata tuliyopo tumedhamiria kuwapatia upinzani kura zetu
 
Umeongea point kubwa sana lakini tatizo hata katiba ikiwa nzuri itaheshimiwa!,tunaona jinsi hii mbovu yenyewe inavyovunjwa na wakubwa na hakuna wa kuwaambia kitu
 
Hofu zitawafuna wajinga Mana ndio wanaoogopa mabadiliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…