Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

View attachment 1909311

Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.

Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Huu nauona uzushi kama bado sijaona takwimu zilizopita zinazoonyesha bei yadola hiyo.
 
Usitake ku-create drama ambazo hazina maana. Dola-TZS imekuwa stable sana kwa kipindi kirefu. Angalia hapa chini kwa mwaka mmoja uliopita:

1629978757634.png

Sasa hivi baadhi ya familia zimeanza kula mlo mmoja tu kwa siku , huku familia nyingine za Manzese maeneo ya kwa Mfuga Mbwa zikisonga Ugali Mkubwa mboga kila mtu ajitegemee , kiukweli watu wanaishi maisha duni mno kwa sasa tangu awamu ya 6 iingie , mama kishashindwa haraka sana !

View attachment 1909355
Kumbe enzi za Magufuli maisha yalikuwa mazuri sasa yameharibika tokea kuingia Mama!
 
View attachment 1909311

Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.

Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
ulikuwa wapi mkuu? hiyo 2318 ipo hivyo karibia miezi sita. nilidhani unasema imefika 3000 au 5000 ili nibomoe kibubu changu
 
View attachment 1909311

Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.

Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Bro nadhani Kiingereza ni changamoto kwako kidogo. Yaani umeangalia hizo za kushoto ukaona ndogo na za kulia zimeongezeka ndio akili yako IKAHITIMISHA HIVYO TU.

Haahaaa yaani haufananii kabisa
 
We kweli kimeo.

Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Mungu wangu!!! Kama una mtoto wa form 1 hapo mwambie akueleza maana ya Buying na Selling. Muonyeshe hiyo chart
 
Ukipandisha kodi bila utaratibu athari moja kubwa ni mfumuko wa bei wizara husika hawana elimu nzuri katika mambo ya uchumi ,pia mipango yao inalenga muda mfupi na haina maono ya muda mrefu tutaona bidhaa nyingi zikiendelea kufumuka bei kutokana na watu kujitukuza kuwa wao ni wabobezi katika uchumi,
Yote kwa yote husema kichwa cha mbuzi hakiskiii husikia kikiwa kwenye chungu
Sasa mbona waziri wa fedha aliwahi kipindi cha nyuma akiwa bungeni kujitapa na kujigamba akijipigapiga kifua kuwa yeye ni mchumi wa grade A??!!
 
View attachment 1909311

Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.

Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Tayari bei ya dola ni juu kuliko hiyo, BOT wanatoa bei elekezi lakini bei halisi kwenye soko haifanini na wanayoelekeza hata siku moja. Kwenye commercial banks bei ni kati ya 2450 hadi 2500
 
Kupanda kwa sarafu nyingine dhidi ya nyingine Kuna Mambo mengi Sana na sio kuwa uchumi wetu umeshuka.
Kumbuka yen ya Japan iko Bei rahisi kuliko Kshs so Kenya Wana uchumi imara kumzidi mjapani.

Pia dola haijapanda Kama iyo ni Bei ya bot.
Pia Kama dola ikipanda huwa inapanda kwa sarafu zote duniani uelewe ilo.
Smt inategemeana na nahitaji yenu ya sarafu fulani.
Ukitaka kujua zaidi pesa yenu don't peg with Usd Bali with Gold. Mana iyo ni safe heaven
 
Back
Top Bottom