Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

Kuwa na rais mwanamke wakati nchi haina mifumo mizuri ya uongozi wala hamna taasisi imara ni uzuzu didimizi!! Keeping tunampa mwanamama nchi hii ndoatuletee mabadiliko.... Tuna akili za kuku kweli! oh sorry zavifaranga
 
We hujaingia humu siku nyingi. Mbona ipo hivyo ni miezi sasa.
Hawa wengine si wakurupukaji tu, mtu akipost wao hawafanyi tafiti wanaichukua, dollar imekua ikicheza 2309 na 2310 kwa miezi ni 5 sasa
 
Kuwa na rais mwanamke wakati nchi haina mifumo mizuri ya uongozi wala hamna taasisi imara ni uzuzu didimizi!! Keeping tunampa mwanamama nchi hii ndoatuletee mabadiliko.... Tuna akili za kuku kweli! oh sorry zavifaranga
Umefanya utafiti hiyo dollar miezi mi5 sasa inacheza 2309 na 2310 sasa rais ameingiliaje au rais anahusikaje ...
 
Mmmh mbona kama imeshuka last week ilikuwa 2400 hivi na ushee
 
Mbona bei ya dola toka Kipindi cha JPM iko vile vile- tena Kuna Kipindi ilifika mpaka 2355- na hiyo 2310 ni bei elekezi- kwa mfano leo maduka mengi ya fedha na baadhi ya benki wameuza 2335 mpaka 2336.
 
Hauwezi ukamkaribisha jk alafu ukategemea kuiona pesa kokote ikimultiply ktk uchumi. Pesa yote anakomba na BoT inaendelea kuwa kama alivyoiacha 2015 ...natamani afe kesho watu wale matanga yake
Unfortunately Tutakufukia wewe kabla yake😄😄😁😁

Live long JK
 
Kupanda kwa sarafu nyingine dhidi ya nyingine Kuna Mambo mengi Sana na sio kuwa uchumi wetu umeshuka.
Kumbuka yen ya Japan iko Bei rahisi kuliko Kshs so Kenya Wana uchumi imara kumzidi mjapani.

Pia dola haijapanda Kama iyo ni Bei ya bot.
Pia Kama dola ikipanda huwa inapanda kwa sarafu zote duniani uelewe ilo.
Smt inategemeana na nahitaji yenu ya sarafu fulani.
Ukitaka kujua zaidi pesa yenu don't peg with Usd Bali with Gold. Mana iyo ni safe heaven
Kenge hao wanajua nini? Sarafu ya Rwanda na Burundi ziko juu ya Tzn sasa je hao Wana uchumi bora kuliko Tzn?
 
Kuwa na rais mwanamke wakati nchi haina mifumo mizuri ya uongozi wala hamna taasisi imara ni uzuzu didimizi!! Keeping tunampa mwanamama nchi hii ndoatuletee mabadiliko.... Tuna akili za kuku kweli! oh sorry zavifaranga
Una akili za kuku wewe na waliokuzaa sisi usituhusishe maana tunamwelewa Sana mama.

Unavyopayuka utadhani unajua hata uchumi kumbe umejaa uharo wa Mwendazake kichwani kwako.
 
Dola haijapanda sana dhidi ya shilingi kwa sababu toka Magufuli aingie madarakani hadi leo hii kiwango cha uagizaji bidhaa toka nje kimeshuka sana hivyo mahitaji ya dola yamepungua ikilinganishwa na hapo kabla.
 
We kweli kimeo.

Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Nawew ujui kitu Ni kwamba kuna beo ya kunua an kuuza .buying and selling rate ..of which lazm kuwe na difference BOT inanunua Dolla kwa lower rate ya shilingi 2280 na kuuza kwa high rate ya 2310 ..nin maana yake Ni kwamba ukitaka kumiliki dola utalazimika kutoa shilingi 2310 kwa dola moja na ukitaka kuuza dola umapate madafu yaani TSH beni 2280 ...iko hvyo mkuu ...
 
Nafikiri hizi takwimu za BOT huwa haziko sahihi. Ukifanya malipo kwa dola unakwatwa zaidi ya 2300. Takwimu na uhalisia ni tofauti.
 
Back
Top Bottom