TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Huu nauona uzushi kama bado sijaona takwimu zilizopita zinazoonyesha bei yadola hiyo.View attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Kumbe enzi za Magufuli maisha yalikuwa mazuri sasa yameharibika tokea kuingia Mama!Sasa hivi baadhi ya familia zimeanza kula mlo mmoja tu kwa siku , huku familia nyingine za Manzese maeneo ya kwa Mfuga Mbwa zikisonga Ugali Mkubwa mboga kila mtu ajitegemee , kiukweli watu wanaishi maisha duni mno kwa sasa tangu awamu ya 6 iingie , mama kishashindwa haraka sana !
View attachment 1909355
ulikuwa wapi mkuu? hiyo 2318 ipo hivyo karibia miezi sita. nilidhani unasema imefika 3000 au 5000 ili nibomoe kibubu changuView attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Bro nadhani Kiingereza ni changamoto kwako kidogo. Yaani umeangalia hizo za kushoto ukaona ndogo na za kulia zimeongezeka ndio akili yako IKAHITIMISHA HIVYO TU.View attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Mungu wangu!!! Kama una mtoto wa form 1 hapo mwambie akueleza maana ya Buying na Selling. Muonyeshe hiyo chartWe kweli kimeo.
Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Njoo nikuuzie dollar.. ninazo za kutosha π§πΌββοΈπ§πΌββοΈAseee [emoji848][emoji848][emoji849][emoji849]
Are u serious kweli?
Nyuma ilikuwaje?
[emoji85][emoji85][emoji16]Njoo nikuuzie dollar.. ninazo za kutosha [emoji3187]β[emoji3603][emoji3187]β[emoji3603]
Sasa mbona waziri wa fedha aliwahi kipindi cha nyuma akiwa bungeni kujitapa na kujigamba akijipigapiga kifua kuwa yeye ni mchumi wa grade A??!!Ukipandisha kodi bila utaratibu athari moja kubwa ni mfumuko wa bei wizara husika hawana elimu nzuri katika mambo ya uchumi ,pia mipango yao inalenga muda mfupi na haina maono ya muda mrefu tutaona bidhaa nyingi zikiendelea kufumuka bei kutokana na watu kujitukuza kuwa wao ni wabobezi katika uchumi,
Yote kwa yote husema kichwa cha mbuzi hakiskiii husikia kikiwa kwenye chungu
Tayari bei ya dola ni juu kuliko hiyo, BOT wanatoa bei elekezi lakini bei halisi kwenye soko haifanini na wanayoelekeza hata siku moja. Kwenye commercial banks bei ni kati ya 2450 hadi 2500View attachment 1909311
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
Hutaki dollar π§πΌββοΈπ§πΌββοΈπ§πΌββοΈ[emoji85][emoji85][emoji16]
Yaani ww ni lijinga sn aiseesasa dola kupanda na uchumi wa tanzania wap wap mzee? Kuongezeka kwa ukubwa wa dola sio lazima tsh iwe imeshuka
Vema kukaa kimya kuficha ujingasasa dola kupanda na uchumi wa tanzania wap wap mzee? Kuongezeka kwa ukubwa wa dola sio lazima tsh iwe imeshuka
Tumia hekima tuu tuelewane tuu kwamba tokea amepewa hiyo wizara ni wizara ngapi zimeathiriwa akiwa kama waziri wa fedhachaku
Angalia mambo yalivyobadilika mkuu ndani ya mda mchache aliochaguliwa angalia matokeoSasa mbona waziri wa fedha aliwahi kipindi cha nyuma akiwa bungeni kujitapa na kujigamba akijipigapiga kifua kuwa yeye ni mchumi wa grade A??!!