kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Mbona imekua kicheza 2310 na 2309, imepandaje au umekurupuka?Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
View attachment 1909311
Hawa wengine si wakurupukaji tu, mtu akipost wao hawafanyi tafiti wanaichukua, dollar imekua ikicheza 2309 na 2310 kwa miezi ni 5 sasaWe hujaingia humu siku nyingi. Mbona ipo hivyo ni miezi sasa.
Umefanya utafiti hiyo dollar miezi mi5 sasa inacheza 2309 na 2310 sasa rais ameingiliaje au rais anahusikaje ...Kuwa na rais mwanamke wakati nchi haina mifumo mizuri ya uongozi wala hamna taasisi imara ni uzuzu didimizi!! Keeping tunampa mwanamama nchi hii ndoatuletee mabadiliko.... Tuna akili za kuku kweli! oh sorry zavifaranga
Itakuwa imepanda!We kweli kimeo.
Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Kwani ilikuwa shs ngapi?Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
View attachment 1909311
Mbona imekua kicheza 2310 na 2309, imepandaje au umekurupuka?
Uchumi na dola kupanda wapi na wapi?Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
View attachment 1909311
Mapopoma hao wanajua nini? Hapa wanatafuta kiki unfortunately watu wa mtaani hawajui hata dola ni nini..Toka dec last year dola inacheza humo humo kwenye 2300-2310
Unfortunately Tutakufukia wewe kabla yake๐๐๐๐Hauwezi ukamkaribisha jk alafu ukategemea kuiona pesa kokote ikimultiply ktk uchumi. Pesa yote anakomba na BoT inaendelea kuwa kama alivyoiacha 2015 ...natamani afe kesho watu wale matanga yake
Kenge hao wanajua nini? Sarafu ya Rwanda na Burundi ziko juu ya Tzn sasa je hao Wana uchumi bora kuliko Tzn?Kupanda kwa sarafu nyingine dhidi ya nyingine Kuna Mambo mengi Sana na sio kuwa uchumi wetu umeshuka.
Kumbuka yen ya Japan iko Bei rahisi kuliko Kshs so Kenya Wana uchumi imara kumzidi mjapani.
Pia dola haijapanda Kama iyo ni Bei ya bot.
Pia Kama dola ikipanda huwa inapanda kwa sarafu zote duniani uelewe ilo.
Smt inategemeana na nahitaji yenu ya sarafu fulani.
Ukitaka kujua zaidi pesa yenu don't peg with Usd Bali with Gold. Mana iyo ni safe heaven
Una akili za kuku wewe na waliokuzaa sisi usituhusishe maana tunamwelewa Sana mama.Kuwa na rais mwanamke wakati nchi haina mifumo mizuri ya uongozi wala hamna taasisi imara ni uzuzu didimizi!! Keeping tunampa mwanamama nchi hii ndoatuletee mabadiliko.... Tuna akili za kuku kweli! oh sorry zavifaranga
Naona imeshuka. Ilikuwa kubwa zaidi ya hapo. Pitia takwimu za nyuma BOTWakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
View attachment 1909311
Nawew ujui kitu Ni kwamba kuna beo ya kunua an kuuza .buying and selling rate ..of which lazm kuwe na difference BOT inanunua Dolla kwa lower rate ya shilingi 2280 na kuuza kwa high rate ya 2310 ..nin maana yake Ni kwamba ukitaka kumiliki dola utalazimika kutoa shilingi 2310 kwa dola moja na ukitaka kuuza dola umapate madafu yaani TSH beni 2280 ...iko hvyo mkuu ...We kweli kimeo.
Sasa kama ilikua usd 1=2280. Na sasa shs hiyohyo 1=2310 je imeshuka au imepandaaa
Unashangaa hiyo? J3 nimenunua 2339 NMBWakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310.
Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
View attachment 1909311