DOKEZO Dola zimeadimika, bei ya black market ni Tzs 3000-3200 kwa noti za $.50 & 100

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tunaongoza kwa ulafi pia! Uibe trilioni 2, unazifanyia nini? Halafu iweje?

Unadhani mabara mengine hayakuwa na huo utajiri tulionao sisi?

Wametumia akili, udikteta na kutozingatia haki za binadamu wala demokrasia, wamesonga mbele, mbali sana!
Unahonga lc 300
 
Dubai unafananisha na Tzn? Productivity ya Dubai ni sawa na Tzn? Dubai ni Nchi Mji,Dubai Ina mafuta na gas,Dubai Ina watu wachache sana so mahitaji yake ni kidogo kuliko Tanzania.
 
Usirogwe kubadiki pesa kwa wanaosimama nje ya hizo sehemu maalum za kubadiki pesa, ni wezi wa kishirikina.
 
Uchumi unafunguliwa kwa maneno!
 
Tunaongoza kwa ulafi pia! Uibe trilioni 2, unazifanyia nini? Halafu iweje?

Unadhani mabara mengine hayakuwa na huo utajiri tulionao sisi?

Wametumia akili, udikteta na kutozingatia haki za binadamu wala demokrasia, wamesonga mbele, mbali sana!
Uko sahihi
 
Punguzeni chuki za kijinga kuadimika kwa $ hakuna uhusiano wowote na Samia na serikali, aliye sababisha $ kuadimika ni Marekani yenyewe amepunguza $ kwenye mzunguko wa dunia ili kupambana na mfumko wa bei kwenye nchi yake.

Pia baadhi ya biashara dunia imeanza kuendeshwa bila $ hivyo uhitaji wake kupungua hivyo wanahofia kuwa $ zitakuwa nyingi kuliko uhitaji kwenye mzunguko wa kibiashara duniani hivyo kusababisha thamani yake kushuka, hivyo kinacho endelea sasa ni Marekani analinda thamani ya pesa yake.

Alafu Dubai utaifananishaje na Tz aisee?
Dubai haiwezi kuwa na uhaba wa $ kwa sababu anafanya biashara ya mabilion ya $ na Marekani kila mwaka sasa niambie nchi yako inafanya biashara gani ya maana na Marekani?
Unaongelea ufisadi kwani ni lini ambapo nchi hii haijawahi kuwa na ufisadi? nyinyi si ndo huwa mnasema serikali ya kikwete ilikuwa imejaa ufisadi mbona $ haikuadimikaga kama sasa?
 
Endelea kuwapiga msasa usichoke,,,,wasipokuelewa nitawashangaa.
 
Haya kaifateni huko mnakoipata mtapewa.... Kalieni ikulu mpewe dola
 
Unaishi nchi Gani?tatizo kitaaambo lilishaanza kuchukuliwa hatua.

 
Hapo kwenye bank naomba kumjibia.

Ipo hivi-ikiwa dola imeadimika hata kama dola cash zipo bank hupewi wala huwezi kufanya transfer. Kwa sababu kwenye akaunti za bank kunakuwa hakuna dola kwenye vitabu vyao bali kuna dola kwenye akaunti za wateja....
Ili uweze kuchenji tzs zako upate dola basi ni lazima pia kuwe na wateja waliobadilisha dola kupata tzs. Bila hivyo mfumo hauruhusu.

Ni ngumu kueleweka lkn ndio ilivo.

Unaweza ukaambiwa bank hakuna dola lkn kiuhalisia cash dola zinakuwepo nyingi sn tu ila haziuziki kwa sababu zinakuwa hazipo kwenye mzunguko wa forex
 
Huyo unayemwambia ndio chanzo cha haya yote hivyo ni kazi Bure tu kumtaka afanye lolote.
 
kuna wakati samia alisema kenya haina dola ya matumizi miezi tatu .Hivi sasa tanzania wako kwa hio shida
 

Ninyi warusi wa kibaigwa na wavaa kobazi si ndio mlikuwa mnasema dollar imekufa , pumbavu na huo ni mwanzo ,US federal reserve wamepandisha interest reates tokea mwaka jana na wanaendelea kuongeza , mtaminywa mpaka akili ziwarudi na mjue USA ni nani na umuhimu wake katika dunia hii .
Thamani ya currencies nyingine itaendelea kushuka na USD dollar itaendelea kupaa thamani , na ni hivyo hivyo hata Marekani kwenyewe , Is federal reserve wanapopandisha interest rates za kwenye mabenki inaathiri mzunguko na upatikanaji wa USD dollar kwenye mabenki kutumika kama mikopo , savings au means of exchange that's means kuadimika kwa pesa ,hivyo hata makampuni yanayoongoza uzalishaji au hata wafanyakazi au hata kufilisika , ,maana makampuni yanaendeshwa kwa mikopo so hii ina implications kubwa sana kiuchumi na effects zake zinamgusa kila mtu , ukiona mjinga mmoja anataka dollar iadimike mpe middle finger
 
Sio bongo tu ni Dunia nzima, sahivi US kuprint karatasi zake anaogopa nchi nyingi sahivi zinapunguza dependency ya Dollar
Hakuna fala yeyote mwenye ubavu wa kuachana na US dollar , endelea kujidanganya ,
Sababu ya kuadimika kwa USD ni federal reserve kupandisha interest rates ili kupambana na mfumuko wa bei pale Marekani ,na ameanza kufanya hivyo tangia mwaka jana so kuadimika kwa pesa kinaanzia hapo ,ukiraise interest rates ya USD unasababisha deflation au kusinyaa kwa mzunguko wa pesa na ndio kinachotokea sasa hivi.
Sasa ikichangia na the fact that nchi za kijinga kama hizi zetu ambazo hazina reserve ya kutosha ya USD na tuna trade imbalance / deficit kubwa that's means tunaagiza zaidi kuliko tuunavyouza nje hilo lazima litokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…