Dola zimeadimika kwasababu wageni wanavuna fedha za miradi kuliko wazawa

Sababu HAWANA PESA km Wakandarasi wa NJE Wakandarasi wa Ndani wanategemea wapewe Pesa NDIO wafanye kazi km Pesa hakuna Kazi inadoda Ila wa NJE hata km Pesa haijaingia wanatumia za KWAO huku wakisubiria Pesa iingie ilimradi mradi usiishie NJIANI
Unafikiri wachina wanatoa pesa zao Bila memorandum of understanding,
Wao Sio wajinga , msije mkasema wamejenga chini ya kiwango.

Na hizo pesa zao Hua kuna RIBA, Ndio maana wachina wanakimbilia kufidia ujenzi, mchina Sio mjinga afidie pesa kwani hii πŸ‘† Nchi πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni yake.

Wachina Wana benki zao hapo posta
 
NDIO sijakataa MoU inahusika Ila Mradi Si unakamilika au unataka kusemaje?
 
Kama huna dola hiyo ni shauri yako; mama kafungulia nchi kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake! Refusha kamba yako upate dola.
 
Siku nyingine usiwe una quote watu kudhihirisha ujinga ulionao. Una quote watu halafu hujui ulichoandika.
Endelea kusoma umbeya Jamii forum maana hata huelewi kuhusu making money online.
Wewe unayetengeneza hela, unadhani ile ni point unaileta kwenye kadamnasi ya wattu, zile si story kabisa are you serious
 
Utaambiwa hilo ni sera ya marekan inayo lenga kupungaza usd kwenye mzunguko .hapa zinakopwa kutoka nje wajanja wanakuja kuzivuna kwa kazi za kawaida mno
 
NDIO sijakataa MoU inahusika Ila Mradi Si unakamilika au unataka kusemaje?
Miradi inakamalika, lkn BOT na CAG wakifunga accounts mzigo unaelemeaa debt, NCHI inapata hasara.

Allocations za pesa kwenye Miradi kuna tatizo kubwa.
Serikali inaanzishaje mradi mfano, wa road km 20, halafu pesa Zina pelea
 
Utaambiwa hilo ni sera ya marekan inayo lenga kupungaza usd kwenye mzunguko .hapa zinakopwa kutoka nje wajanja wanakuja kuzivuna kwa kazi za kawaida mno
Watoto wenu Wana pelekwa jkt kuvalishwa vipishooti
 
Mpaka Leo PayPal tz πŸ‡ΉπŸ‡Ώ bado ni kizungumkuti, hawa umbw@ huko wizarani sijui wanawaza nn
 
Tumeamua kuwa na UCHUMI WA KICHUUZI yaani kila Mtanzania amegeuka mchuuzi na dalali wa biashara za wahindi na wachina.

Hesabu ndogo kabisa hata mtoto wa chekechea anaijua, you export nothing and you import everything.
 
Tuko busy kukopa na kuomba misaada kuliko kutuliza akili na kuwekeza kwenye uzarishaji wa bidhaa mbalimbali ili tuwe tuna export.

Tumeshindwa kuipa kipaumbele Liganga na mchuchuma tuchimbe chuma ambacho kwa kiasi fulani ni game changer kwenye manufacturing industry.
Tumeacha kuwekeza nguvu kwenye uzarishaji umeme wa maji tuzarishe mwingi tuuze bei nafuu na mwisho wa siku production cost inakuwa chini na investors wengi watakuja hapa kufanya production hence more production and exportation.

Tumeacha kuwekeza kwenye skilled workforce na mwisho wasiku tukawa na mamilioni ya cheap skilled workforce ambayo itavutia wawekezaji na pia wengine watakwenda nje huko kufanya kazi na kuingiza Dola huku.
 
Mikopo tunayokopa kwani tunalipa kwa TZ SHILLINGI? after 100yrs hiyo mikopo + riba na kuporomoka Kwa value ya tshillingi unafikiri wajukuu zetu watakuaje kama sio SLAVE WA AMERICAN DOLLAR.
 
Mikopo tunayokopa kwani tunalipa kwa TZ SHILLINGI? after 100yrs hiyo mikopo + riba na kuporomoka Kwa value ya tshillingi unafikiri wajukuu zetu watakuaje kama sio SLAVE WA AMERICAN DOLLAR.
Mkuu tunakopa Kwa USD dollars, na foreign contractors like china, turkey etc wanalipwa Kwa USD dollars, hawa foreign contractors hawakubali kulipwa Kwa TSH, SS mchina akilipwa TSH ataitumiaje kwao.
So we Left nothing in our pocket
 
Wewe unayetengeneza hela, unadhani ile ni point unaileta kwenye kadamnasi ya wattu, zile si story kabisa are you serious
Msoma umbeya siku zote huwa anajulikana. Hana hoja zaidi kujibu zaidi ya muongo, hapana, ndiyo. Hapo amemaliza
Ungekuwa unafanya making money online usingejibu hivyo maana unajua nini kinaendelea. Wewe na wenzako mnatakiwa mjibiwe hivyo ili ujue dollars nyingi sana zinanipita.
Hapo ulipo usikute hujui hata nini maana ya Paypal😁😁😁😁😁
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚You don't sound like one umeropoka tu. Muongo wewe Muongo mkubwa, Dollar ipo na inafanya kazi na inapatikana. Acha kuropoka
 
Mkuu tunakopa Kwa USD dollars, na foreign contractors like china, turkey etc wanalipwa Kwa USD dollars, hawa foreign contractors hawakubali kulipwa Kwa TSH, SS mchina akilipwa TSH ataitumiaje kwao.
So we Left nothing in our pocket

Hizo USD tunazokopa tunakuja kuwalipa wakandarasi wa kichina na wengine ambao nao wanataka USD, then tunalipa mikopo + riba in USD, Hahaahahha.. huku Kila mkopo ukija tarajia kuliwa kiasi cha kutosha.
 
kwa lugha rahisi hiyo hoja ya fedha za kigeni zinaishia kulipa wakandarasi wa nje haina nguvu.
Haina Nguvu? Unakijua unachoongea? Pili unajua maana ya kuwapa wageni kazi? Yaani 70% wageni na 30% wazawa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚You don't sound like one umeropoka tu. Muongo wewe Muongo mkubwa, Dollar ipo na inafanya kazi na inapatikana. Acha kuropoka
Msoma umbeya utamjua tu. Jifunze kutengeneza pesa online kuliko kuhangaika na kusoma umbeya kwenye mitandao ya kijamii na kubishana na watu ovyo.
Hujui hata nini maana ya Paypal wala mifumo ya kupokea pesa kutoka nje ilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…