Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Acha uongo
U.s federal reserve walishusha interest rate
Asante kwa kuweka sababu uijuayo wewe boss. Naamini unaelewa maana ya neno "Nadhani" linapotumika kwenye sentensi kama nilivyolitumia.

Wakati wa hadithi za vijiwe vya whisky, moja moto na baridi kuna taarifa ilitoka, nanukuu
BOT will purchase the minerals at a cost of 87 US dollars sawa na Tsh 237, 101 per gram of gold. "

Sasa kuna mnywaji mwenzetu akatupa taarifa kuwa kuna kampuni imeachia mzigo wa kutosha wa $ baada ya sale ya dhahabu na kusababisha Panic kwenye black market hatimaye banks nazo zikareact na new info $ ikashuka kwa kasi. Labda ni hadithi za ulevi tu mkuu
 
Acheni udanganyifu dola bado ipo strong. Federal wameshusha interest on purpose ili Kuvutia foreign investment watumie dola.
g4kdba.jpg
 
Licha ya mambo mengine kama federal reserve ku adjust interest rates, lakini jambo lingine muhimu uchumi watanzania kwa msimu huu wa mwaka 2024 umefanya vizuri hasa katika sector ya kilimo tumeuza,sana mahindi na bidhaa za mashambani katika nchi za kusini mwa Africa ,ambazo zilikuwa na ukame msimu uliopita. Kingine sector nyingine kama utalii ,madini ,uvuvi, bandari usafirishaji ,zimechagiza pakubwa uchumi wa nchi kuimarika ukilinganisha na nchi jirani.
 
Wiki kadhaa wacongo waliringa sana,sasa kwao ipo juu,huku inashuka kwa speed kali.....kwao bado ipo 2800-2900........ Asilimia kubwa wanakimbilia kwenye bidhaa viwandani (for export). Ila eneo kama kkoo wanaliogopa maana wanakula mtaji
 
Licha ya mambo mengine kama federal reserve ku adjust interest rates, lakini jambo lingine muhimu uchumi watanzania kwa msimu huu wa mwaka 2024 umefanya vizuri hasa katika sector ya kilimo tumeuza,sana mahindi na bidhaa za mashambani katika nchi za kusini mwa Africa ,ambazo zilikuwa na ukame msimu uliopita. Kingine sector nyingine kama utalii ,madini ,uvuvi, bandari usafirishaji ,zimechagiza pakubwa uchumi wa nchi kuimarika ukilinganisha na nchi jirani.
Sababu za uongo hizo kamanda. Dollar imeshuka hadi uganda na Kenya. Jibu sahihi ni wap US kashusha rate zao kuvutia FI
Angalia chini hapa uone dola ilivyoshuka Kenya na uganda
Screenshot_20241210-200447_1.jpg
Screenshot_20241210-200215_1.jpg
 
baada ya dollar ya marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muds huu naandika nakala.hii imefikia 2490 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi y tsh nikuimarika kwa uchumi? Wataalam mtujuze

Ilikuwaje ikapanda vile?
 
Back
Top Bottom