Mzee Wa Jambo
Member
- Aug 28, 2023
- 43
- 58
Aisee naona inshuka kwa Kasi ya kimbunga
Acha iendelee kushuka ili tufanye importation vizuti
Acha iendelee kushuka ili tufanye importation vizuti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kuweka sababu uijuayo wewe boss. Naamini unaelewa maana ya neno "Nadhani" linapotumika kwenye sentensi kama nilivyolitumia.Acha uongo
U.s federal reserve walishusha interest rate
Wajuaji bwana!!Acha uongo
U.s federal reseve alishusha interest rate ambayo iko 4.5
Bot hananguvu ya kucontrol soko la dollar acha uongo
Kwa hivyo monetary policy za Tanzania imesababisha kushuka kwa thamani ya dollar?Kila nchi wana-monetary policy zao ambazo zinatofautiana
Sababu za uongo hizo kamanda. Dollar imeshuka hadi uganda na Kenya. Jibu sahihi ni wap US kashusha rate zao kuvutia FILicha ya mambo mengine kama federal reserve ku adjust interest rates, lakini jambo lingine muhimu uchumi watanzania kwa msimu huu wa mwaka 2024 umefanya vizuri hasa katika sector ya kilimo tumeuza,sana mahindi na bidhaa za mashambani katika nchi za kusini mwa Africa ,ambazo zilikuwa na ukame msimu uliopita. Kingine sector nyingine kama utalii ,madini ,uvuvi, bandari usafirishaji ,zimechagiza pakubwa uchumi wa nchi kuimarika ukilinganisha na nchi jirani.
Acheni kudanganyanaSababu za uongo hizo kamanda. Dollar imeshuka hadi uganda na Kenya. Jibu sahihi ni wap US kashusha rate zao kuvutia FI
Angalia chini hapa uone dola ilivyoshuka Kenya na uganda
View attachment 3174067View attachment 3174068
Hii ndiyo contributing factor kubwa. Big up kaka! Kumbe Jamii forums kuna watu wanaakili..Pia exports ya korosho na mazao mengine yanaweza pelekea kukawepo na surplus ya dollar
Fungua fuvu, hapa kinachozungumzwa ni thamani ya dollar moja kulinganisha shillingi, ukweli imeshuka lakini huko kushuka sio kwetu tu hata Kenya na uganda pia imeshuka Sana
Kenya na uganda nao wana korosho? Maana dollar huko pia imeporomoka sanaHii ndiyo contributing factor kubwa. Big up kaka! Kumbe Jamii forums kuna watu wanaakili..
Mkuu kenya msimu huu ana chai Uganda ana kahawa leta ya sehem.kama Zambia, Kongo na mozambique maana hawa kwa msimu huu ni kama hawakuwa na mazaoKenya na uganda nao wana korosho? Maana dollar huko pia imeporomoka sana
baada ya dollar ya marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muds huu naandika nakala.hii imefikia 2490 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo. Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki zilizopita kwa sasa ana hasara ya karibu 300 kwa kila dollar. Je Dollar kushuka dhidi y tsh nikuimarika kwa uchumi? Wataalam mtujuze
Ndugu Baltazar...hongera kwa kuanzisha utalii mpya. Utalii wa kuja Africa kupigwa ili upigikigeKenya na uganda nao wana korosho? Maana dollar huko pia imeporomoka sana
Mkuu wamatumbi hawawezi kukuelewa wao ni Mapambio tu...hawajuwi ndo wanazidi kudidimia ShimoniAcheni udanganyifu dola bado ipo strong. Federal wameshusha interest on purpose ili Kuvutia foreign investment watumie dola.
View attachment 3174060
Kuna kenge Moja mwezi wa nne aliniletea figisu akakataa kunikipa Kwa USD kama tulivyokubaliana. Wakati dola ilikuwa 2700+ yeye akaniwekea 2650 akasema hiyo itakuwa fixed. Sasa hivi namchora tu🤣 japo Kuna mahala naenda kulia kama haitapandaKwa sisi tunaolipwa kwa dollar kazi tunayo...