Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Wewe kwa akili yako chai na kahawa ndio imefanga kuwa na hilo poromoko? Kila mwaka mauzo ya kahawa Uganda yanaongezeka kwa nn hakukua na poromoko?

2020/21 Uganda waliexport kahawa ya thamani ya $550m+

But kwa 2022/23 thamani iliongezeka hadi $860m+. Hapo kwa nn dollar haikuporomoka ije iporomoke kwa ongezeko la kutoka $860m to $1.1b??
Ungeleta total export ya Uganda kwa kulinganisha na kipindi cha nyuma.
Ukisema effects ni USA interest rates basi ilitakiwa ilete effects kwa karibia nchi zote leo nchi kama mozambique exchange rate imestack 63<64 kwa karibia mwaka ukienda Zambia na Congo same thing , hiyo yako inaweza moja ya sababu ila maamuz ya Bot kununua dhahabu na export za tanzania
Ambazo zimepanda sana kuliko kiwango ni sababu

labda ukatae exports haziwez pelekea kuwepo dollar kushuka hasa pale unapolazimishwa kutumia shilling kwa manunuzi ya ndani
 
Msikilize Ruto kuhusu kushuka kwa bei ya petroli, halafu ujitafakari!

View: https://youtu.be/pvchKykQv5M?si=m71s6wUMT9EvWEVx

Kwani bei za Mafuta zilipopanda ni Serikali ilioandisha Hadi alaumiwe Samia?

Sasa Kwa taarifa Yako tuu sio tuu kushuka huko soko la Dunia sisi Tanzania ya Samia tunajenga matenki ya Kuhifadhi Mafuta ya miezi 6 zaidi Ili tusiathirike na Mabadiliko ya bei.

Bado tuu hujaona kazi ya Samia?👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DDbNnJ6qMr-/?igsh=ajRzc29iOW9yYnhy
 
Ni kweli Dollar imeanza kushuka na shilingi ya kitanzania imeanza kuimarika hi kwa sababu kuu mbili
1. BOT ilikua na mnada wa hadhara wa dola na ilinunua dola za kutosha ili kukidhi manunuzi mbalimbali
2. Mapema mwezi 11 serikali ilianza kununua dhahabu ambayo itaiwezesha serikali kuuza na kupata pesa za kigeni moja kwa moja. Serikali kununua dhahabu ilitakiwa kuanza hili muda mrefu sana ili kupambana na upungufu wa pesa za kigeni, ila tunashukuru kwa kuchukua hatua

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Trump akiingia madarakani haya unayoyaongea utaona yanaenda vice versa,dola itapanda Tu c mwezi ujao
 
Mnataka kutembelea beats za wenzenu? Wenzenu wafanye yao halafu ninyi mtake kuchukua credits?
Mtasubiri sana. Tukutane hapa February hadi April uje uongee haya .
 
Mnataka kutembelea beats za wenzenu? Wenzenu wafanye yao halafu ninyi mtake kuchukua credits?
Mtasubiri sana. Tukutane hapa February hadi April uje uingee haya madudu.
Mkuu kumbuka mwezi February ndio miezi wengi huenda kufanya manunuzi China especially wabongo maana kila kitu kinakua bei Chini na ndo kipindi ambako ni kama hakuna exports kabisa karibia migod mingi hufungwa kwa sababu ya mvua, watu wanakuwa busy mashamban kunakuwa na uhitaji mwingi kuliko mauzo lazima dollar itapanda ila sio kwa hiyo extend unayoongelea
 
Wewe kwa akili yako chai na kahawa ndio imefanga kuwa na hilo poromoko? Kila mwaka mauzo ya kahawa Uganda yanaongezeka kwa nn hakukua na poromoko?

2020/21 Uganda waliexport kahawa ya thamani ya $550m+

But kwa 2022/23 thamani iliongezeka hadi $860m+. Hapo kwa nn dollar haikuporomoka ije iporomoke kwa ongezeko la kutoka $860m to $1.1b??
USA kupunguza interest rates haina mahusiano haina mahusiano makubwa sana .alichoshusha ni rates za mikopo kwa benki . Mfano Bot ndo banker wa commercial banks zote nchini na Kuna kiwango taxi la benki halitakiwi kuzid. Sasa ili kufanya pesa iwepo mtaani benki kuu ya USA imeshusha kiwango cha riba anachokopesha hizo financial institution ili nazo zishushe riba kwa zinawakopesha ili kuwepo na mzunguko. Commercial banks zikishusha riba ya mikopo yaan letsay kutoka 20 mpaka 13 inamaana gharama ya kulipa madeni itapungua sana wawekezaji watavutiwa sana maana kutakuwa na purchasing power kubwa na gharama ya kupata capital kwenye financial institution itapungua USA.
Sasa hapo Kuna madhara gani kwa Tanzania au interest iliyoshushwa ni ya dollar kwenda kwenye currency nyingine?
 
Trump akiingia madarakani haya unayoyaongea utaona yanaenda vice versa,dola itapanda Tu c mwezi ujao
Na akipandisha interest rates at discourage matumizi ya ndanj hivyo kupelekea fedha zikosekane mtaani, mikopo iwe gharama na bidhaa zake ziwe ghali hivyo kushindwa kuendelea kushindana na mchina, ili ashindane na mchina usd inatakiwa iwe chini kuvutia exportation
 
In July 2024, Tanzania introduced several policy changes aimed at reducing dollar demand and supporting the local currency. One notable measure is the prohibition of foreign currency transactions for domestic trade, designed to limit the internal need for U.S. dollars. Additionally, the government has launched a gold purchase program to diversify its foreign reserves. To date, Tanzania has acquired 976.51 kilograms of gold toward a target of six metric tonnes by June 2025. This approach reduces the need to source dollars for the reserve, as the gold is locally sourced and purchased with Tanzanian shillings.

The nation’s balance of payments has further benefited from favorable harvests and rising global commodity prices, particularly gold. Cashew exports alone generated over TZS 743 billion in October, while the tourism industry continues to thrive, attracting 1.8 million visitors in 2023 and another 1.56 million by August 2024.

Additionally, the U.S. Federal Reserve has initiated a series of interest rate cuts, which are expected to ease global dollar liquidity. Despite the recent shift in U.S. leadership, it is unlikely the Federal Reserve will revert to rate hikes, especially given the importance of economic stability highlighted in the U.S. 2024 election.

Radiation hapo kwenye manunuzi ya dhahabu yaliyoanzishwa na Bot
 
USA kupunguza interest rates haina mahusiano haina mahusiano makubwa sana .alichoshusha ni rates za mikopo kwa benki . Mfano Bot ndo banker wa commercial banks zote nchini na Kuna kiwango taxi la benki halitakiwi kuzid. Sasa ili kufanya pesa iwepo mtaani benki kuu ya USA imeshusha kiwango cha riba anachokopesha hizo financial institution ili nazo zishushe riba kwa zinawakopesha ili kuwepo na mzunguko. Commercial banks zikishusha riba ya mikopo yaan letsay kutoka 20 mpaka 13 inamaana gharama ya kulipa madeni itapungua sana wawekezaji watavutiwa sana maana kutakuwa na purchasing power kubwa na gharama ya kupata capital kwenye financial institution itapungua USA.
Sasa hapo Kuna madhara gani kwa Tanzania au interest iliyoshushwa ni ya dollar kwenda kwenye currency nyingine?
Tanzania bidhaa asilimia 90+ wana-import na wanatumia dollar kuzinunua huko nchi ya nje
 
Na akipandisha interest rates at discourage matumizi ya ndanj hivyo kupelekea fedha zikosekane mtaani, mikopo iwe gharama na bidhaa zake ziwe ghali hivyo kushindwa kuendelea kushindana na mchina, ili ashindane na mchina usd inatakiwa iwe chini kuvutia exportation
Acha uongo alipandisha interest rate kama kukabiliana na inflation a.k.a overheating kwenye uchumi wa marekani

Unashindanaje na mchina anayetumia fixed intetest rate huku marekani akitumia flexible interest rate we kwa akili yako unaona kuna uhusiano
 
Tanzania bidhaa asilimia 90+ wana-import na wanatumia dollar kuzinunua huko nchi ya nje
Ndio tunanunua nje bidhaa nyingi ila ili dollar ishuke na tuwe na surplus lazima na sisi tuuze nje. Ndo maana ukiangalia hata maelezo yangu ni kuwa usd kushuka inaweza kuwa pia na kuongeza kwa mahitaji ya shilling kwa ajili ya ununuzi wa bidhaa za nje.
Mfano wanunuzi wa korosho,ufuta na mbaazi wanakuja na dollar ila mkulima wa tandahimba yeye anataka shilling tu ,kwahiyo huyo mnunuzi inambidi atafute shilling kwa namna yoyote ili aweze kununua korosho, hivyo kuongeza mahitaji ya shilling na kupatikana kwa usd na ndio maana ukiangalia kwa mwaka huu tanzania imepunguza trade deficit kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu imeuza bidhaa nyingi sana nje za almost usd 17bil
 
Kwanini imeanza kushuka miezi hii baada ya u.s federal reserve kuanza kushusha interest rate na sio miezi mingine
 
Back
Top Bottom