concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Ungeleta total export ya Uganda kwa kulinganisha na kipindi cha nyuma.Wewe kwa akili yako chai na kahawa ndio imefanga kuwa na hilo poromoko? Kila mwaka mauzo ya kahawa Uganda yanaongezeka kwa nn hakukua na poromoko?
2020/21 Uganda waliexport kahawa ya thamani ya $550m+
But kwa 2022/23 thamani iliongezeka hadi $860m+. Hapo kwa nn dollar haikuporomoka ije iporomoke kwa ongezeko la kutoka $860m to $1.1b??
Ukisema effects ni USA interest rates basi ilitakiwa ilete effects kwa karibia nchi zote leo nchi kama mozambique exchange rate imestack 63<64 kwa karibia mwaka ukienda Zambia na Congo same thing , hiyo yako inaweza moja ya sababu ila maamuz ya Bot kununua dhahabu na export za tanzania
Ambazo zimepanda sana kuliko kiwango ni sababu
labda ukatae exports haziwez pelekea kuwepo dollar kushuka hasa pale unapolazimishwa kutumia shilling kwa manunuzi ya ndani