concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 3,379
- 6,624
Hii itashuka sana mpaka January naipigia hesabu kwenye 2100 na watu Bot lazima wakomae ishuke ili deni lishuke walipe baadhi ya madeni kipindi ikiwa chiniNow ni 2460
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itashuka sana mpaka January naipigia hesabu kwenye 2100 na watu Bot lazima wakomae ishuke ili deni lishuke walipe baadhi ya madeni kipindi ikiwa chiniNow ni 2460
Pole mkuu hiyo hata kitaa huuziNilikuwa nishapiga mahesabu makali, ifike hata 3000 nizitoemo. Ona sasa! 😢
Acha uongo
U.s federal reseve alishusha interest rate ambayo iko 4.5
Bot hananguvu ya kucontrol soko la dollar acha uongo
Kwa hivyo monetary policy za Tanzania zimesababisha kupanda kwa thamani ya TZS na siyo kushushwa kwa interest rate za mikopo USA?BOT na dollar wapi na wapi
BOT waulize mambo ya Tanzania shilling
Monetary policy zinatofautiana kulingana na nchi nchi hapo hujaelewa nini
Kabisa mkuu.Pole mkuu hiyo hata kitaa huuzi
Kwamba USA kashusha interest rate mpaka 4.5 nahisi yeye anajua kuwa kuwa USA kashusha exchange rate mpaka 4.5 hivyo dollar inapatikana kwa wingiKwa hivyo monetary policy za Tanzania zimesababisha kupanda kwa thamani ya TZS na siyo kushushwa kwa interest rate za mikopo USA?
Please, make necessary clarifications.
Ila ndo muda mzuri wa kununua magari Sasa. Nasubiri kuona meli kuanzia January zikishusha vifurushi vipya vya mabasKabisa mkuu.
Hapa tuendelee kupuliza moto tuHii ikiendelea hivi ni habari njema kwa tunaolipia matangazo Facebook na Instagram.
View attachment 3174361
Kwanza tusaidie kwanzi tzs imepanda dhidi ya kenyaUmehamisha magoli tena
Tunaongelea thaman ya shilingi vs dollar we unaleta porojo nyingine
Ni tzs kwa karibia currency note kwa nchi tunazofanya nazo biashara angalia tzs versus ksh au tzs versus ugx au tzs versus Rwanda na kadhalika tzs imegain sana kuanzia oktoba haiwez kuwa ni USA interest tu ni pamoja na exportsSawli... Hii hali ni kwa pesa ya kitanzania pekee ama ni dolar against all other currency
Aise, mi nimeshakuwa mchawi sasa hivi naomba isishuke zaidi. Najua kwa ujumla ni nzuri ila nafikiria ugali wangu utakuwa mgumu maana bei ya vitu huku kwenye shilingi najua haviwezi kushuka...Kuna kenge Moja mwezi wa nne aliniletea figisu akakataa kunikipa Kwa USD kama tulivyokubaliana. Wakati dola ilikuwa 2700+ yeye akaniwekea 2650 akasema hiyo itakuwa fixed. Sasa hivi namchora tu🤣 japo Kuna mahala naenda kulia kama haitapanda
DuuuhWale machawa wasio na akili watakuja kumsifia mama
Mkuu itashuka sana we vumilia tu, subiria kesho labda Bot waweke price cap maana kinachotokea Sasa hivi ni panic wengi waliokuwa wamehold dollar wanakimbiza benk ili wasizid kupata hasara hivyo kufanya dolar izid kuwa nyingi mtaanAise, mi nimeshakuwa mchawi sasa hivi naomba isishuke zaidi. Najua kwa ujumla ni nzuri ila nafikiria ugali wangu utakuwa mgumu maana bei ya vitu huku kwenye shilingi najua haviwezi kushuka...