Dollar yaanza kushuka kwa kasi

Dollar yaanza kushuka kwa kasi

BOT na dollar wapi na wapi
BOT waulize mambo ya Tanzania shilling

Monetary policy zinatofautiana kulingana na nchi nchi hapo hujaelewa nini
Kwa hivyo monetary policy za Tanzania zimesababisha kupanda kwa thamani ya TZS na siyo kushushwa kwa interest rate za mikopo USA?
Please, make necessary clarifications.
 
Kwa hivyo monetary policy za Tanzania zimesababisha kupanda kwa thamani ya TZS na siyo kushushwa kwa interest rate za mikopo USA?
Please, make necessary clarifications.
Kwamba USA kashusha interest rate mpaka 4.5 nahisi yeye anajua kuwa kuwa USA kashusha exchange rate mpaka 4.5 hivyo dollar inapatikana kwa wingi
 
In America everything is under control.
Dola ikishapanda ni ngumu sana kushuka hasa Africa ambako kila kitu kilo out of control.

Jaribu kufanya practical research mwenyewe ujiridhishe na usahihi unachonena.

USA ina operate in dark and light, huko gizani USA anajua kila kitu kuliko tunavyojiju.
Sisi upande wetu wa gizani tunautumia kulinda watawala na sio maslahi mapana ya Taifa.
 
Hii ikiendelea hivi ni habari njema kwa tunaolipia matangazo Facebook na Instagram.

Screenshot_20241211-123858.png
 
Umehamisha magoli tena
Tunaongelea thaman ya shilingi vs dollar we unaleta porojo nyingine
Kwanza tusaidie kwanzi tzs imepanda dhidi ya kenya
Hapa ni oktoba

View: https://x.com/CBKKenya/status/1841022580699931106?t=F3viPTfXrnEy3l8ckmyMgQ&s=19
Na huku usd ikizid kupanda thamani dhidi ya ksh

View: https://x.com/CBKKenya/status/1866739191348080731?t=cTzznefZKqDq58Jo0AFJsg&s=19
Au na kesha kashusha interest rate toka 21 mpaka 19 kwa ksh
Kwanini ksh inazidi kushuka wakati tanzania inapanda

View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1846786936842731573?t=CDTOXzvzQ6Gklb_T4RwJsA&s=19
Oktoba

View: https://x.com/BankOfTanzania/status/1866741759155507524?t=99TNzbO4Vt7Pl4uFLWf47A&s=19
December
Unaweza kutueleza kwanini tzs shilling imepanda sana kuzid ksh
 
What is going on, watu wa uchumi mtugee dondoo kidogo... Kila lisaa inashuka
 
Sawli... Hii hali ni kwa pesa ya kitanzania pekee ama ni dolar against all other currency
 
Sawli... Hii hali ni kwa pesa ya kitanzania pekee ama ni dolar against all other currency
Ni tzs kwa karibia currency note kwa nchi tunazofanya nazo biashara angalia tzs versus ksh au tzs versus ugx au tzs versus Rwanda na kadhalika tzs imegain sana kuanzia oktoba haiwez kuwa ni USA interest tu ni pamoja na exports
 
Kuna kenge Moja mwezi wa nne aliniletea figisu akakataa kunikipa Kwa USD kama tulivyokubaliana. Wakati dola ilikuwa 2700+ yeye akaniwekea 2650 akasema hiyo itakuwa fixed. Sasa hivi namchora tu🤣 japo Kuna mahala naenda kulia kama haitapanda
Aise, mi nimeshakuwa mchawi sasa hivi naomba isishuke zaidi. Najua kwa ujumla ni nzuri ila nafikiria ugali wangu utakuwa mgumu maana bei ya vitu huku kwenye shilingi najua haviwezi kushuka...
 
Aise, mi nimeshakuwa mchawi sasa hivi naomba isishuke zaidi. Najua kwa ujumla ni nzuri ila nafikiria ugali wangu utakuwa mgumu maana bei ya vitu huku kwenye shilingi najua haviwezi kushuka...
Mkuu itashuka sana we vumilia tu, subiria kesho labda Bot waweke price cap maana kinachotokea Sasa hivi ni panic wengi waliokuwa wamehold dollar wanakimbiza benk ili wasizid kupata hasara hivyo kufanya dolar izid kuwa nyingi mtaan
 
Back
Top Bottom